Je, utafanyaje kama umemtongoza mke wa rafiki Yako na amekukataa?

Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbona simple anamuambia tu alikuaanafanya utani
 
Mbona issue ndogo hivyo. Yeye akae kimya, aendelee na masha kama kawaida. Asalamiane na kuendelea na kila kitu as nothing happen. Hakuna haja ya kuomba msamaha wala kuhaingaika huku na huku.

Hii ni kwa sababu.
1. Shemeji hawezi kumwambia mumewe.
2. Mumewe hawezi kujua kwa nanmna yoyote ile.

Maisha yaendeleee.
 
Daaah kumbe!!

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
wakati anamtongoza alikuwa anajua kuwa hili linaweza kutokea,hivyo alitengeneza contigent plan yake,basi hiyo ndio aitumie
 
Back
Top Bottom