Je, utafanyaje kama umemtongoza mke wa rafiki Yako na amekukataa?

Amtafute huyo mke wa mtu amuombe msamaha. Na pia awe na kizawadi hata Cha pesa takribani 200000 mbona atapoa tu na papuchi atakupea
Akishamla huyo mke wa rafiki yake? Ujinga ujinga tu.
 
Una washkaji wapuuzi na wewe unaemtafutia njia ya kujinasua kwenye huo upuuzi nawe ni mpuuzi vilevile, kuwa na rafiki wa nanmna yenu ni kuishi na wachawi karibu hamstahili kuwa rafiki wa mtu yeyote nyie ni ma snitch
 
Unamtongozaje mke wa rafiki yako na utegemee kubaki marafiki?

Mwambie akue kwanza, wanaume hatufanyagi huo utoto.
 
Hama kijiji
 
Una washkaji wapuuzi na wewe unaemtafutia njia ya kujinasua kwenye huo upuuzi nawe ni mpuuzi vilevile, kuwa na rafiki wa nanmna yenu ni kuishi na wachawi karibu hamstahili kuwa rafiki wa mtu yeyote nyie ni ma snitch
Hawakawii kukuuza watu wa hivi ni takataka kabisaa.
 
Hakuna Legend atakushauri kwenye huu ujinga.
 
Una washkaji wapuuzi na wewe unaemtafutia njia ya kujinasua kwenye huo upuuzi nawe ni mpuuzi vilevile, kuwa na rafiki wa nanmna yenu ni kuishi na wachawi karibu hamstahili kuwa rafiki wa mtu yeyote nyie ni ma snitch
Kizuri kula na nduguyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…