Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kwa hiyo unaelewa kuwa tamaa ina limitation zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unaelewa kuwa tamaa ina limitation zake.
Akishamla huyo mke wa rafiki yake? Ujinga ujinga tu.Amtafute huyo mke wa mtu amuombe msamaha. Na pia awe na kizawadi hata Cha pesa takribani 200000 mbona atapoa tu na papuchi atakupea
Hapana mkuu ..hakujua kama atakula za usowakati anamtongoza alikuwa anajua kuwa hili linaweza kutokea,hivyo alitengeneza contigent plan yake,basi hiyo ndio aitumie
Hapana mkuu...Mimi ni mtu smart sanaUna rafiki wa ovyo sana kama ulivyo
Yaaah mkuu... limitation ni Kwa ndugu tuKwa hiyo unaelewa kuwa tamaa ina limitation zake.
Pesa ndefu sana hiyoAmtafute huyo mke wa mtu amuombe msamaha. Na pia awe na kizawadi hata Cha pesa takribani 200000 mbona atapoa tu na papuchi atakupea
Hii ni kwako. Kuna wanaume tuna limit tamaa zetu mpaka kwa wake za wanaume wenzetu.
Unamtongozaje mke wa rafiki yako na utegemee kubaki marafiki?Wakulungwa..... habari Gani
Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana
Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..
Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hama kijijiWakulungwa..... habari Gani

Hawakawii kukuuza watu wa hivi ni takataka kabisaa.Una washkaji wapuuzi na wewe unaemtafutia njia ya kujinasua kwenye huo upuuzi nawe ni mpuuzi vilevile, kuwa na rafiki wa nanmna yenu ni kuishi na wachawi karibu hamstahili kuwa rafiki wa mtu yeyote nyie ni ma snitch
Hakuna Legend atakushauri kwenye huu ujinga.Wakulungwa..... habari Gani
Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana
Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..
Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Labda mna matatizo ya uzaziHii ni kwako. Kuna wanaume tuna limit tamaa zetu mpaka kwa wake za wanaume wenzetu.
Kizuri kula na nduguyoUna washkaji wapuuzi na wewe unaemtafutia njia ya kujinasua kwenye huo upuuzi nawe ni mpuuzi vilevile, kuwa na rafiki wa nanmna yenu ni kuishi na wachawi karibu hamstahili kuwa rafiki wa mtu yeyote nyie ni ma snitch
DuuuuhWewe na huyo rafiki yako wote ni wapumbavu.
[emoji23][emoji23]Hakuna Legend atakushauri kwenye huu ujinga.
[emoji23][emoji23]Kwa mijadala ya namna hii huwezi kabisa kushangaa Tanzania kuwa na Mbunge kama Babu Tale, na kuwa nchi yenye Marais watano rasmi na hakuna wa kuhoji.
Ova
Hatuna tatizo la akili kama la kwako.