Je, utajuaje kama una-date na demu wa mtu ukidhani ni wa kwako?

Mimi kuna demu huwa anapandisha mashetani sasa kaenda kwa Shehe kamwambia eti ana jini mahaba, na kuna dawa inatakiwa ampake sehemu za siri, na inatakiwa aipake kwenye uume wake ili aiingize vizuri.

Na hizi stori nimezisikia sehemu nyingi leo imetokea kwa demu wangu.
Niko njiani nimpige demu chini, japo anasema hajamkubalia huyo shehe ila kwa ninavyomjua huyu ipo siku ataenda kuwekwa dawa.
So najiweka pembeni mapema.
Mwache Mtu apakwe Dawa na Sheikh Apone...🤣🤣
Mbona Hamuamini Watu wa Mungu?

Yaani We kwanini Usimuamini Sheikh??🤣🤣🤣
 
Kwanza kabisa nitume salamu za pole kwa ndugu yetu, mwamba kabisa, mzee wa ndinga, bwana Mad Max kwa yaliyomkuta baada ya kuzinguana na aliekuwa demu wake (kiukweli hakuwa wako, ulikua unatoka na dem wa mtu) lkn baada ya muda kidogo tu demu akamwambia ndugu yetu "Heshima itawale" kwa maana ameshaolewa.

Vijana wenzangu, tupeane hapa mbinu na red flags zinazoonesha kwamba huyu mwanamke unaesema ni dem wako na hata kuweka malengo nae kumbe ni dem wa mtu, kwa maana kwamba kuna pengine amekolea kabisa na wewe ni kipozeo tu au mchepuko.

Hapa chini naweka kadhaa
1)Ukiona mwanamke anakuhitaji akiwa na huzuni tu au akiwa na matatizo au akiwa off-mood ujue ww kwake ni kiraka tu mzee. Hataki kushare happiness yake na ww lkn anataka aje kushare matatizo tu, happiness anashare na jamaa yake. Na ndo maana utashangaa humfikishi sababu akiwa na ww anakua ana stress tu. Ukiona hivo na ww kaa kimaster, anza kujiengua mdg mdg au kuwa mtumiaji tu wa kipochi manyoya bila kuwa na future nae

2)Ukiona hakuheshimu na wala hakuombi msamaha akikosea ujue kuna mtu anaheshimiwa na anaombwa msamaha na huyo mtu sio wewe, ukiona hivo mzee muache dem wa wenyewe aende alikodata utapata stress bure ufe mapema.

3)Ukiona dem ni mtu wa kutafuta vijisababu sababu ujue hio ni time bomb mda wwt utasikia "basi tuachane" Kuna jamaa aliwahi kuniambia sio pesa wala gari wala mafanikio ndio vitamuweka mwanamke kwako, bali utayari wa huyo mwanamke kuwa kwako ndio utamuweka kwako. Sasa ukiona anatafuta visababu ujue hana utayari wa kuwa kwako na labda tayari kuna jamaa ameshamdatisha zaidi. Ukiona hivo, muache dem wa wenyewe aende zake.

4)Ukiona dem hakunyonyi mashine ujue kuna mwamba ananyonywa hadi anakojolea mdomoni. Kama demu wako hakunyonyi piga chini au kaa kimaster usije ukaumia. Na dem ambae hakunyonyi usije ukampiga denda, utalamba lolo la washikaji wengine wirelessly

Ongezeeni nyingine wataalam...
Okiona dem hana utulivu na bize sana na simu, mkiwa pamoja au ukiona hakuthamini.
 
Mimi alikuaga akikasirika au akifurahi sana Ananiita "we mkaka wewe" nikaanza kuhisi tu kuna jambo haliko sawa
 
uongo umekuwa mwingi sana kizaz hk si tulisema hayana fomla we bwana mbona umeleta fomla kuna jamaa dem wake ana hizo tabia zote jamaa akawa analalamika sana dem wake kabadilika ikanibid nikae na shem kujua tatz alichonifungukia yule mwanamke nikaja gundua kumbe mwanamke unaweza ukamkwaza na asikuoneshe kwamb kuna tabia hazipend na anashindwa kukwambia watachokifanya wataleta vituko kukupa ujumbe ukiwa zuzu kama mtoa mada ndio utawaza dem wako anachepuka broo
 
Jifunze kuheshimu mawazo ya mtu. Kumwita mtoa mada zuzu ni kumvunjia heshima. Najua utakaza fuvu kwa vile una element za u much know ila kuna siku utakuja kunielewa.

Kuhusu huyo mwanamke ambae mwanaume wake alimkwaza, lakini hakumchana matokeo yake akaanza kufanya hivyo vibweka. Je unafikiri hiyo ndio njia sahihi aliyotumia mwanamke. Hapo moja kwa moja mwenye tatizo ni huyo mwanamke. Hizo ni red flags ambazo jamaa alipaswa azijue kabla hajaamua kumuweka ndani.
 
Back
Top Bottom