Upo peke ako babe😍sweery nipo peke yangu au kuna mtu mwingine hapo !!🤔🤔🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo peke ako babe😍sweery nipo peke yangu au kuna mtu mwingine hapo !!🤔🤔🤣
Nashukuru kipenzi😍😍Upo peke ako babe😍
Ok mkuuUsemi huu umekaririshwa.
Kuna kaburi la pamoja pia.
Kaa kwa kutulia babe❤️❤️🥰Nashukuru kipenzi😍😍
Naomba unitag kwemye habari ya mad max kwanzaKwanza kabisa nitume salamu za pole kwa ndugu yetu, mwamba kabisa, mzee wa ndinga, bwana Mad Max kwa yaliyomkuta baada ya kuzinguana na aliekuwa demu wake (kiukweli hakuwa wako, ulikua unatoka na dem wa mtu) lkn baada ya muda kidogo tu demu akamwambia ndugu yetu "Heshima itawale" kwa maana ameshaolewa.
Vijana wenzangu, tupeane hapa mbinu na red flags zinazoonesha kwamba huyu mwanamke unaesema ni dem wako na hata kuweka malengo nae kumbe ni dem wa mtu, kwa maana kwamba kuna pengine amekolea kabisa na wewe ni kipozeo tu au mchepuko.
Hapa chini naweka kadhaa
1) Ukiona mwanamke anakuhitaji akiwa na huzuni tu au akiwa na matatizo au akiwa off-mood ujue ww kwake ni kiraka tu mzee. Hataki kushare happiness yake na ww lkn anataka aje kushare matatizo tu, happiness anashare na jamaa yake. Na ndo maana utashangaa humfikishi sababu akiwa na ww anakua ana stress tu. Ukiona hivo na ww kaa kimaster, anza kujiengua mdg mdg au kuwa mtumiaji tu wa kipochi manyoya bila kuwa na future nae
2) Ukiona hakuheshimu na wala hakuombi msamaha akikosea ujue kuna mtu anaheshimiwa na anaombwa msamaha na huyo mtu sio wewe, ukiona hivo mzee muache dem wa wenyewe aende alikodata utapata stress bure ufe mapema.
3) Ukiona dem ni mtu wa kutafuta vijisababu sababu ujue hio ni time bomb mda wwt utasikia "basi tuachane" Kuna jamaa aliwahi kuniambia sio pesa wala gari wala mafanikio ndio vitamuweka mwanamke kwako, bali utayari wa huyo mwanamke kuwa kwako ndio utamuweka kwako. Sasa ukiona anatafuta visababu ujue hana utayari wa kuwa kwako na labda tayari kuna jamaa ameshamdatisha zaidi. Ukiona hivo, muache dem wa wenyewe aende zake.
4) Ukiona dem hakunyonyi mashine ujue kuna mwamba ananyonywa hadi anakojolea mdomoni. Kama demu wako hakunyonyi piga chini au kaa kimaster usije ukaumia. Na dem ambae hakunyonyi usije ukampiga denda, utalamba lolo la washikaji wengine wirelessly.
Ongezeeni nyingine wataalam.
NdioUnaongea kwa uhakika, vp una experience?