Je, utajuaje kama una-date na demu wa mtu ukidhani ni wa kwako?

Je, utajuaje kama una-date na demu wa mtu ukidhani ni wa kwako?

Demu si wa mtu, demu ni wa wote mpaka anapoolewa ndo anabadilika anakuwa mke, hata anayetembea nae anakuwa anaiba mke wa mtu na akikamatwa ni tatizo kwake.

Njia yenye afadhali ya kujua nafasi yako ni kumwambia nataka nikuoe. Ukiona maigizo basi tayari.
 
Kwanza kabisa nitume salamu za pole kwa ndugu yetu, mwamba kabisa, mzee wa ndinga, bwana Mad Max kwa yaliyomkuta baada ya kuzinguana na aliekuwa demu wake (kiukweli hakuwa wako, ulikua unatoka na dem wa mtu) lkn baada ya muda kidogo tu demu akamwambia ndugu yetu "Heshima itawale" kwa maana ameshaolewa.

Vijana wenzangu, tupeane hapa mbinu na red flags zinazoonesha kwamba huyu mwanamke unaesema ni dem wako na hata kuweka malengo nae kumbe ni dem wa mtu, kwa maana kwamba kuna pengine amekolea kabisa na wewe ni kipozeo tu au mchepuko.

Hapa chini naweka kadhaa
1)Ukiona mwanamke anakuhitaji akiwa na huzuni tu au akiwa na matatizo au akiwa off-mood ujue ww kwake ni kiraka tu mzee. Hataki kushare happiness yake na ww lkn anataka aje kushare matatizo tu, happiness anashare na jamaa yake. Na ndo maana utashangaa humfikishi sababu akiwa na ww anakua ana stress tu. Ukiona hivo na ww kaa kimaster, anza kujiengua mdg mdg au kuwa mtumiaji tu wa kipochi manyoya bila kuwa na future nae

2)Ukiona hakuheshimu na wala hakuombi msamaha akikosea ujue kuna mtu anaheshimiwa na anaombwa msamaha na huyo mtu sio wewe, ukiona hivo mzee muache dem wa wenyewe aende alikodata utapata stress bure ufe mapema.

3)Ukiona dem ni mtu wa kutafuta vijisababu sababu ujue hio ni time bomb mda wwt utasikia "basi tuachane" Kuna jamaa aliwahi kuniambia sio pesa wala gari wala mafanikio ndio vitamuweka mwanamke kwako, bali utayari wa huyo mwanamke kuwa kwako ndio utamuweka kwako. Sasa ukiona anatafuta visababu ujue hana utayari wa kuwa kwako na labda tayari kuna jamaa ameshamdatisha zaidi. Ukiona hivo, muache dem wa wenyewe aende zake.

4)Ukiona dem hakunyonyi mashine ujue kuna mwamba ananyonywa hadi anakojolea mdomoni. Kama demu wako hakunyonyi piga chini au kaa kimaster usije ukaumia. Na dem ambae hakunyonyi usije ukampiga denda, utalamba lolo la washikaji wengine wirelessly

Ongezeeni nyingine wataalam...
Dah hiyo nambari 1 na 4 vinahusika kwa huyu niliyemgegeda majuzi
 
Jifunze kuheshimu mawazo ya mtu. Kumwita mtoa mada zuzu ni kumvunjia heshima. Najua utakaza fuvu kwa vile una element za u much know ila kuna siku utakuja kunielewa.

Kuhusu huyo mwanamke ambae mwanaume wake alimkwaza, lakini hakumchana matokeo yake akaanza kufanya hivyo vibweka. Je unafikiri hiyo ndio njia sahihi aliyotumia mwanamke. Hapo moja kwa moja mwenye tatizo ni huyo mwanamke. Hizo ni red flags ambazo jamaa alipaswa azijue kabla hajaamua kumuweka ndani.
msiwakatishe watu tamaa kwa kuja na fomla uchwara tunawavunjia heshima hata mama zetu jamii ya mtoa mada ndio inaharibu mahusiano ya ndoa nyng za kizaz hk kwakwel ni zuzu nakaza fuvu mana sina ubongo
 
Hamna Siwezi Kupigwa Ban Bwana 🤣🤣
Maana Situkani watu wala sivunji sheria..

Nilijipa Likizo ya Miezi Mitatu..kwanza Off Limit na Mitandao aina yoyote..Nikawa najiendesha Ki old School...

90 Days of Social Media Detoxification...
Hongera Sana aisee
 
Back
Top Bottom