Je, utajuaje kama una-date na demu wa mtu ukidhani ni wa kwako?

Mwache Mtu apakwe Dawa na Sheikh Apone...🤣🤣
Mbona Hamuamini Watu wa Mungu?

Yaani We kwanini Usimuamini Sheikh??🤣🤣🤣
 
Okiona dem hana utulivu na bize sana na simu, mkiwa pamoja au ukiona hakuthamini.
 
Mimi alikuaga akikasirika au akifurahi sana Ananiita "we mkaka wewe" nikaanza kuhisi tu kuna jambo haliko sawa
 
uongo umekuwa mwingi sana kizaz hk si tulisema hayana fomla we bwana mbona umeleta fomla kuna jamaa dem wake ana hizo tabia zote jamaa akawa analalamika sana dem wake kabadilika ikanibid nikae na shem kujua tatz alichonifungukia yule mwanamke nikaja gundua kumbe mwanamke unaweza ukamkwaza na asikuoneshe kwamb kuna tabia hazipend na anashindwa kukwambia watachokifanya wataleta vituko kukupa ujumbe ukiwa zuzu kama mtoa mada ndio utawaza dem wako anachepuka broo
 
Jifunze kuheshimu mawazo ya mtu. Kumwita mtoa mada zuzu ni kumvunjia heshima. Najua utakaza fuvu kwa vile una element za u much know ila kuna siku utakuja kunielewa.

Kuhusu huyo mwanamke ambae mwanaume wake alimkwaza, lakini hakumchana matokeo yake akaanza kufanya hivyo vibweka. Je unafikiri hiyo ndio njia sahihi aliyotumia mwanamke. Hapo moja kwa moja mwenye tatizo ni huyo mwanamke. Hizo ni red flags ambazo jamaa alipaswa azijue kabla hajaamua kumuweka ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…