Je, utajuaje kama una-date na demu wa mtu ukidhani ni wa kwako?

Demu si wa mtu, demu ni wa wote mpaka anapoolewa ndo anabadilika anakuwa mke, hata anayetembea nae anakuwa anaiba mke wa mtu na akikamatwa ni tatizo kwake.

Njia yenye afadhali ya kujua nafasi yako ni kumwambia nataka nikuoe. Ukiona maigizo basi tayari.
 
Dah hiyo nambari 1 na 4 vinahusika kwa huyu niliyemgegeda majuzi
 
msiwakatishe watu tamaa kwa kuja na fomla uchwara tunawavunjia heshima hata mama zetu jamii ya mtoa mada ndio inaharibu mahusiano ya ndoa nyng za kizaz hk kwakwel ni zuzu nakaza fuvu mana sina ubongo
 
🤣🤣🤣Ulipigwa ban?
Hamna Siwezi Kupigwa Ban Bwana 🤣🤣
Maana Situkani watu wala sivunji sheria..

Nilijipa Likizo ya Miezi Mitatu..kwanza Off Limit na Mitandao aina yoyote..Nikawa najiendesha Ki old School...

90 Days of Social Media Detoxification...
 
Hongera Sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…