Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 854
- 1,476
Waombee nduguzo waliotangulia, ambao walijitoa kwa hali na mali ili kijana wao uende shule lakini ulikataa kusoma..Daima Nitamkumbuka Rais Wa Wanyonge Magufuri. Hakika ulitupigania Baba.
Pumzika kwa Amani.