nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Yaani jina lako tu tayari ni chuki kwa Magufuli,huwezi Afrika kupata maendeleo bila style uongozi wa hayati Magufuli i.e. kagameMkuu unajua ni kwanini uzi wako umepigwa doro!?
Ila kwa chuki ulizonazo ni radhi utapike hivyo