Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Rais wa wanyonge anaiba pesa za wanyonge! Fiscal year 2016/2017 alikwapua hazina 1.5 trillions, fiscal year 2017/2018 akakwapua tena hazina 1.2 trillions ripoti za CAGs Assad na Kichere zilaanika hayo. Wakulima wa Korosho kawadhulumu bilions za pesa zao halali. Wafanyakazi miaka 6 hakuna nyongeza ya mishahara lakini pesa ya kununua ndege ipo!!! Hebu ondoa ujinga wako!!! 😩😩😩😩
Daima Nitamkumbuka Rais Wa Wanyonge Magufuri. Hakika ulitupigania Baba.
Pumzika kwa Amani.
 
Back
Top Bottom