Mie kinachonifurahisha ni jinsi alivyowatuliza wale walijikuta keki ya taifa ndio haki yao..wanavyolialia mmoja baada ya mwingine kila siku inanipa a high of its kind...dj walete waletee tena
Kinana naye zamu yake ya kufunguka inakujia. Atatuelezea alivyominywa na kuzuiwa asitoke kwake na baadaye Jiwe kutudanganya 'amemtuma' kutibiwa india.

Pia Prince naye atafunguka tu alivyoenda magogoni kung'ang'ania kuonana na Rais akazuiwa getini.
 
We semenya wa ukaldayo fanya kazi.
 

Rekebisha: Hakuna mtu au kikundi cha watu kinaweza kusimamisha msafara wa rais.
Jaribu kama unaweza kwa kusimama kwenye barabara ambayo unajua msafara utapita punde na uusimamishe!
 
Tofautisha sense of humor na ujeuri ile siku lile lilikua jibu la kijeuri.

Ila siku aliyosema mayala maana yake njaa hiyo ilikua sense of humor.
 
Hahaaa
 
HAHAHAH Magu alikuwa ana vituko sana nilicheka sana siku hiyo alipomwambia huyo jamaa kuwa unataka kikawapikie? hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…