Kinana naye zamu yake ya kufunguka inakujia. Atatuelezea alivyominywa na kuzuiwa asitoke kwake na baadaye Jiwe kutudanganya 'amemtuma' kutibiwa india.Mie kinachonifurahisha ni jinsi alivyowatuliza wale walijikuta keki ya taifa ndio haki yao..wanavyolialia mmoja baada ya mwingine kila siku inanipa a high of its kind...dj walete waletee tena
Pia Prince naye atafunguka tu alivyoenda magogoni kung'ang'ania kuonana na Rais akazuiwa getini.