Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Mie kinachonifurahisha ni jinsi alivyowatuliza wale walijikuta keki ya taifa ndio haki yao..wanavyolialia mmoja baada ya mwingine kila siku inanipa a high of its kind...dj walete waletee tena
Kinana naye zamu yake ya kufunguka inakujia. Atatuelezea alivyominywa na kuzuiwa asitoke kwake na baadaye Jiwe kutudanganya 'amemtuma' kutibiwa india.

Pia Prince naye atafunguka tu alivyoenda magogoni kung'ang'ania kuonana na Rais akazuiwa getini.
 
Inakuwaje wanaJF!

Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? fanyeni kazi! Nikikumbukaga iyo kauli huwa nachekaga sana.

Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.

Pumzika mwana!
We semenya wa ukaldayo fanya kazi.
 
Inakuwaje wanaJF!

Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.

Rekebisha: Hakuna mtu au kikundi cha watu kinaweza kusimamisha msafara wa rais.
Jaribu kama unaweza kwa kusimama kwenye barabara ambayo unajua msafara utapita punde na uusimamishe!
 
Tofautisha sense of humor na ujeuri ile siku lile lilikua jibu la kijeuri.

Ila siku aliyosema mayala maana yake njaa hiyo ilikua sense of humor.
 
Hahaaa
Inakuwaje wanaJF!

Kuna siku akiwa ziarani Kanda ya ziwa wananchi waliusimamisha msafara wake na kumueleza shida na kero zao. Wengine walisikika wakimlilia baba tuna njaa babaa tusaidie njaa inatuua. Jiwe akawa jibu mnataka nije huko makwenu niwapikie? Fanyeni kazi! Nikikumbukaga hiyo kauli huwa nachekaga sana.

Mwana licha ya kuwa katili sometimes alikuwaga na sense of humor.

Pumzika mwana!
 
HAHAHAH Magu alikuwa ana vituko sana nilicheka sana siku hiyo alipomwambia huyo jamaa kuwa unataka kikawapikie? hahahaha
 
Back
Top Bottom