ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Katiba mpya ni muhimu kwa Watanzania wote.wenye akili wakiimba juu ya katiba mpya, sio wimbo wao ni wa wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya ni muhimu kwa Watanzania wote.wenye akili wakiimba juu ya katiba mpya, sio wimbo wao ni wa wote.
Sukuma gang pole sana
Mnakosea sana kuwafanya Watanzania wajinga, kuwagawa sababu mnahofu nguvu za JPM.
Kwahiyo kila anayesema ukweli, anapigania Tanzania ni Sukuma Gang sio, sawa.
Tuwe na Makunduchi Gang, Pemba Gang, Zanzibar Gang, Islamic Gang, Chaga Gang, Fisadi Gang, Oman Gang, Coke Gang tuitane hivyo wote tuone tutafika wapi.
Iwe lugha rasmi ya TZ, SSH hajawahi kukemea huu utoto, uhuni.
Mwenzake Rais wa Zanzibar amewaunganisha wote. Waunguja na wapemba hana Gangs.
Haswaa!wenye akili wakiimba juu ya katiba mpya, sio wimbo wao ni wa wote.
Hapo kwenye 'maGang' sijaona mfumo kristo, umesahau au nitakuwa nimetumwa? Aiem sore🤔Mnakosea sana kuwafanya Watanzania wajinga, kuwagawa sababu mnahofu nguvu za JPM.
Kwahiyo kila anayesema ukweli, anapigania Tanzania ni Sukuma Gang sio, sawa.
Tuwe na Makunduchi Gang, Pemba Gang, Zanzibar Gang, Islamic Gang, Chaga Gang, Fisadi Gang, Oman Gang, CCM Gang, ACT Gang, Chadema Gang, CUF Gang, Coke Gang tuitane hivyo wote tuone tutafika wapi.
Iwe lugha rasmi ya TZ, SSH hajawahi kukemea huu utoto, uhuni.
Mwenzake Rais wa Zanzibar amewaunganisha wote. Waunguja na wapemba hana Gangs.
Hapo kwenye 'maGang' sijaona mfumo kristo, umesahau au nitakuwa nimetumwa? Aiem sore🤔
Ukweli uko pale pale kwamba sukuma gang ndio wanaombeza mama na kumfanya mama ajione kila analofanya anakosea......mnataka kumfanya mama ajione macmuga?Mnakosea sana kuwafanya Watanzania wajinga, kuwagawa sababu mnahofu nguvu za JPM.
Kwahiyo kila anayesema ukweli, anapigania Tanzania ni Sukuma Gang sio, sawa.
Tuwe na Makunduchi Gang, Pemba Gang, Zanzibar Gang, Islamic Gang, Chaga Gang, Fisadi Gang, Oman Gang, CCM Gang, ACT Gang, Chadema Gang, CUF Gang, Coke Gang tuitane hivyo wote tuone tutafika wapi.
Iwe lugha rasmi ya TZ, SSH hajawahi kukemea huu utoto, uhuni.
Mwenzake Rais wa Zanzibar amewaunganisha wote. Waunguja na wapemba hana Gangs.
Mama apambane nao kama anaweza sio kulia lia kila siku.Ukweli uko pale pale kwamba sukuma gang ndio wanaombeza mama na kumfanya mama ajione kila analofanya anakosea......mnataka kumfanya mama ajione macmuga?
Kipara hatoruhusu likamilikeKwangu kuubwa kuliko yoote ni lile bwawa la umeme, na kuhamia dodoma
Lile bwawa likikamilika hatutasumbuka na umeme kwa at least 5years,
Na kuhamia dodoma, kutasaidia saana kuboresha dar, dar haiwez kufa kwa serikali kuhama, ila serikali kuhama kutaidia purukushani za ajabu ajabu za viongozi kupungua na then kuleta raha darisalama
Mimi ni mchamungu nadhani sifa za wachamungu wazifahamu....Mama apambane nao kama anaweza sio kulia lia kila siku.
Hapana sizifahamu..Mimi ni mchamungu nadhani sifa za wachamungu wazifahamu....
Ndugai kafukuzwa au kajifukuza yaani kusutwa na mwanamke nfio unasusaimetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
Catholic ipi unayoiongelea?Ongeza hadi mtaa wako, yatakuwa mengi tu, Mwingira Gang, Gwajima Gang, Catholic Gang, Wazee wa Kariakoo Gang, Wahuni Gang, Tandika, Tandale, Wapinzani.
Gangs hazina mwisho kugawanya watu ni mbinu ambayo inatumiwa hadi leo na USA.
Kazi moja ya uongozi makini ni kuunganisha watu wote.
Sio kweli mimi ilinigharimu 480,000 kupata umeme.. Hizo story za 27,000 ni maneno ya wanasiasa
Mimi pia pamoja na yote hii 27,000 imeninufaisha. Nimefungiwa umeme tena kwa kuwekewa nguzo 8 maana umeme ulikuwa mbali.Bibi zangu wote nmewawekea umeme kwa ef27 na ni wilaya tofauti,yaani baada ya kufanya wayaring jamaa wakaniunganishia umeme tena ndani ya siku 2 tu baada ya kulipia . Labda mkoani kwako mkuu
Kwa sasa siasa za Bongo ni mzungumkuti. Yaani ni sarakasi tupu na panga pangua.Inauma sana leo Heche anasema bora Magufuli kuliko Samia