Sukuma gang pole sana

Mnakosea sana kuwafanya Watanzania wajinga, kuwagawa sababu mnahofu nguvu za JPM.

Kwahiyo kila anayesema ukweli, anapigania Tanzania ni Sukuma Gang sio, sawa.

Tuwe na Makunduchi Gang, Pemba Gang, Zanzibar Gang, Islamic Gang, Chaga Gang, Fisadi Gang, Oman Gang, CCM Gang, ACT Gang, Chadema Gang, CUF Gang, Coke Gang tuitane hivyo wote tuone tutafika wapi.

Iwe lugha rasmi ya TZ, SSH hajawahi kukemea huu utoto, uhuni.

Mwenzake Rais wa Zanzibar amewaunganisha wote. Waunguja na wapemba hana Gangs.
 

Wewe uko kwenye Gang lipi? Ndio tunatambulishana hivi awamu hii?
 
Hapo kwenye 'maGang' sijaona mfumo kristo, umesahau au nitakuwa nimetumwa? Aiem sore🤔
 
Hapo kwenye 'maGang' sijaona mfumo kristo, umesahau au nitakuwa nimetumwa? Aiem sore🤔

Ongeza hadi mtaa wako, yatakuwa mengi tu, Mwingira Gang, Gwajima Gang, Catholic Gang, Wazee wa Kariakoo Gang, Wahuni Gang, Tandika, Tandale, Wapinzani.

Gangs hazina mwisho kugawanya watu ni mbinu ambayo inatumiwa hadi leo na USA.

Kazi moja ya uongozi makini ni kuunganisha watu wote.
 
Ukweli uko pale pale kwamba sukuma gang ndio wanaombeza mama na kumfanya mama ajione kila analofanya anakosea......mnataka kumfanya mama ajione macmuga?
 
Kipara hatoruhusu likamilike
 
Ndugai kafukuzwa au kajifukuza yaani kusutwa na mwanamke nfio unasusa
 
Catholic ipi unayoiongelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimejifunza kwamba Mwanadamu usimtegemee mwanadamu na kumuona yeye ndio kila kitu!
 
Sio kweli mimi ilinigharimu 480,000 kupata umeme.. Hizo story za 27,000 ni maneno ya wanasiasa

Bibi zangu wote nmewawekea umeme kwa ef27 na ni wilaya tofauti,yaani baada ya kufanya wayaring jamaa wakaniunganishia umeme tena ndani ya siku 2 tu baada ya kulipia . Labda mkoani kwako mkuu
 
Bibi zangu wote nmewawekea umeme kwa ef27 na ni wilaya tofauti,yaani baada ya kufanya wayaring jamaa wakaniunganishia umeme tena ndani ya siku 2 tu baada ya kulipia . Labda mkoani kwako mkuu
Mimi pia pamoja na yote hii 27,000 imeninufaisha. Nimefungiwa umeme tena kwa kuwekewa nguzo 8 maana umeme ulikuwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…