Hao Matajiri aliokuwa akiwapora pesa walikuwa wanatunyonya sisi wanyonge michezo yote JPM alikua anaijua ndio maana alivyoingia madarakani akaanza kudeal nao
 
Mzimu wa JPM utawatesa sanaa na mtapata madonda ya moyo.Alipokufa mlifanya sherehe mkazani ndo mmemaliza kazi kumbe ndo kwaaza jamaa ndo anaongeza wafuasi kila siku.anakumbukwa na wote wapenda haki na wanamlilia sanaaa.umsamehe au usimsamehe yeye kashamaliza mwendo karudi kwa Muumba yeye ndo final say aende peponi au motoni wengine siyeee na wapiga domo tu na roho mbaya
 
Siyo wewe tu tuko wengi, hata hii Hali mbaya ya kiuchumi tuliyo nayo leo, yeye ndo kasababisha, alafu jumbs bovu wanamwangushia mama yetu samaia
 
Namna ya kuishi kwa kuheshimu sheria katiba na kila mmoja, mkubwa na mdogo
Mbona hapo ulipo unawanyanyasa walioko chini yako ofisini,full mikwara wakikuona wanatetemeka,au ndiyo yale ya Nyani haoni......
 
Sio wewe tu mkuu
 
Mkuu wahurumie tu,ni stress za January,Shool fees za watoto zinasumbua,mtu anaamua kuja kutapika nyongo kwa Marehemu.
 
Siyo wewe tu tuko wengi, hata hii Hali mbaya ya kiuchumi tuliyo nayo leo, yeye ndo kasababisha, alafu jumbs bovu wanamwangushia mama yetu samaia
Nenda kakope ada za watoto kwenye Micro Finance haraka,utakuwa sawa Mkuu,stress zitakwisha😂😂
 
JPM ndiye chanzo (source) cha kila baya linaloendelea hapa nchini hivi sasa....tozo, mikopo, vitu kupanda bei, kuparaganyika kwa demokrasia, umeme kukatika hovyo, n.k...
Hata masoko kuungua siyo
 
Mbona hapo ulipo unawanyanyasa walioko chini yako ofisini,full mikwara wakikuona wanatetemeka,au ndiyo yale ya Nyani haoni......
Binadamu tunaishi kwa kujifunza makosa ya liyofanya na wengine na kujirekebisha, siko hivyo na nafasi hiyo sinayo.
 
Hao Matajiri aliokuwa akiwapora pesa walikuwa wanatunyonya sisi wanyonge michezo yote JPM alikua anaijua ndio maana alivyoingia madarakani akaanza kudeal nao
Menyewe unajiita maskini/mnyonge hao walokunyonya Nini🤔?
 
Ninamkumbuka magufuli kwa mambo mengi tu mazuri na mabaya lakini nafikiri kila cku hata ufanye mazuri
He is My sons's legacy

Ametusaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Usiwe mnafiki magufuli kafanya ushenzi maraisi wote waliomtangulia hawakudiriki kufanya la mwisho ni kuharibu kabisa uchaguzi wa 2020,na kusababisha vifo vya mamia ya wananchi mpaka ikapelekea mungu kukubali dua za wananchi waliodhulumiwa haki zao na kumuondosha mapema ili asije kusababisha madhara zaidi kama walikusudia yeye na makundi yake ya utekaji na kudhulumu sasa afadhali kidogo tunaona mwanga kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…