Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Mkuu bora umetua mzigo wa fundo moyoni!
Si hayo tu kuna mengi ukiyafikiria kwakweli unapata shida ya uchungu mkubwa!
Wapo watu walijinyonga sababu ya ugumu wa maisha huku watu wake kama akina Makonda, Sabaya na Sukuma gang wote wakineemeka!
Watumishi na familia zao walipata taabu kubwa na wengi walijukuta wanarudi nyuma kwa kuuza nyumba au viwanja, vinginevyo uhamishe mtoto toka private umpeleke shule ya kata!
Tuzidi kuomba na kuombea taifa letu tusijejikuta tena mikononi mwa rais wa aina ile hadi kila mtu anaiona dunia chungu!
Yote kwa yote , Tunamshukuru Mungu kwa yote, Lakini tumsamehe bure Mwendazake, Tuseme yote ni mipango na makusudi ya Mungu!