Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Mshamba huyo anajua wapi? Halafu WiFi ya airport ipo miaka kibao ukishacheck in kule unaipata free tu miaka kibao mshamba ashazoea kupanda punda anataka tujue amepanda ndege kwa mara ya kwanza maana mtu aliyezoea hivyo vitu vipo miaka mingi tu.Unazungumzia ule wa chato? Kama ni terminal 3 ya Jk Nyerere nakusanua kuwa ujenzi wake ulianza awamu ya Kikwete.
Mshamba wahedi. Halafu airport kajenga Kikwete sio huyo Magufuli wenu. Tena alisimamisha ujenzi alipoingia takribani miezi saba. Ushamba tu chukua manati ukawinde kware pumbavu.