JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Hakika. Wakamilishe tu miradi kwanza afu waendelee na kula kwa urefu wa kamba.Magufuli ni Musa wa Tanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika. Wakamilishe tu miradi kwanza afu waendelee na kula kwa urefu wa kamba.Magufuli ni Musa wa Tanzania!
The spoken truth.Oil chafu haichafuki..
Legends never die,
Died but never forgotten.
Okay.Ata shetani anakumbukwa. Ndio maana hutajwa
Relax
Hata firauni anakumbukwa.
Tena ukienda kuhiji Maka Ili Uwe àalhaji lazima utembelee Kaburi la firauni na maiti yake ipo inatunzwa kitaalamu mpaka leo,Sasa huyo NYANG'AU JIWE kwa unyama aliotufanyIa Watz hatutamsahau Kamwe.Relax
Hata firauni anakumbukwa.
Ukiona Mtanzania amkumbuki Magufuli,jua huyo alikuwa na vyeti feki,muuza unga au fisadi mwizi wa mali za umma.Tena ukienda kuhiji Maka Ili Uwe àalhaji lazima utembelee Kaburi la firauni na maiti yake ipo inatunzwa kitaalamu mpaka leo,Sasa huyo NYANG'AU JIWE kwa unyama aliotufanyIa Watz hatutamsahau Kamwe.
Unaujua ugaidi?Mwaka unaisha sasa lakini timu gaidi hawaachi kumwandika Magufuli
Unajichanganya mwenyewe.The late Magufuli pamoja na kuwa tunaona mgao wa Umeme mkali ambao kipindi chako ilikuwa historia, vibaka mitaani ilikuwa historia, ajali za hovyo hovyo zilikuwa historia and may be many others, LAKINI SIWEZI KUKUKUMBUKA KAMWE kwa sababu uliua demokrasia, Mahakama, Bunge na ulikanyaga kila Katiba na Sheria vilizokuwa mbele yako. The worst side of it ULIKUWA MUUAJI.
HERI KUISHI KWENYE SHIDA LAKINI NIKIWA HURU.
Pumzika kwa Amani maana Mungu Mwana Bwana Yesu na Mungu wetu walituasa tusameheane
mzee alikuwa mwongo sana na tapelitapeli utamsikia kila kitu tunafanya kwa pesa zetu wenyewe hii inchi ni tajiri kumbeee, vyama vya upinzani vilionewa sana hasa chadema,watanzania wengi walibaki yatima wazazi wao kupotezwa na wengine kubaki vilema maisha,kiujumla alikuwa dikteta
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Uthubutu [emoji123]

Umeutoa wapi huu uzushi na uongo?Tena ukienda kuhiji Maka Ili Uwe àalhaji lazima utembelee Kaburi la firauni na maiti yake ipo inatunzwa kitaalamu mpaka leo
Mkuu nakubaliana nawe, hata mimi namkumbuka sana kwa kazi ile ya bomoa bomoa ya Kimara hadi Kibaha bila kulipa mtu sent; na nadhani Mama Mh. Rais Samia nita/atakumbukwa sana kama atawakumbuka wale wenye nyumba hizo zilizo bomolewa kwa kuwapatia hata kifuta JASHO tu.Unajichanganya mwenyewe.
Unawezaje kudai huwezi kamwe kumkumbuka ilhali kwa wakati huo huo unamwanzishia mada...