Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Umeutoa wapi huu uzushi na uongo?
Nakuomba mtafute alhaji yoyote muulize kama alivyotbelea kaburi la firauni ,na je MWILI wake Bado upo,yaani hi alhaji aliniambia alivyokuwa anaemda kuangàlia alikuwa firauni ni binge la mtu kumbe ana kaumbo kadogo kamtu kafupi
 
Tuachane kwanza na hayo ya Mwili wa Fir'awn. Sio kweli kwamba ili Hajj ya mtu ikamilike ni lazima aende huko Misri kuangalia hizo Mummies. Mkuu, unajua nini maana ya Hijja?
 
Kweli sijui maaña ya hijja siko vizuri kuhusu dini ila nilisema hivyo Ili kutoa uzito kwa mahujaji walionisomulia kuwa walitembelea kaburi là firauni,samahani sana kama nimeongeza chumvi
 
Usijali ndugu yangu, ni katika kukumbushana tu na kuwekana sawa. Ni muhimu mno tuisome Dini yetu hasa yale ya msingi kama nguzo za Uislam.

Kutembelea "kaburi" la Fir'awn huko Misri, sio sehemu ya Ibada ya Hajj wala Umrah.
 
Asante nashukuru
 
Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.

Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.

Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?

Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.

Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli
 
[emoji871]Sema kwamba wewe ndie hau mmiss.

[emoji871]Ngoja 2025 ndio utajua nguvu ya Magufuli.

[emoji871]Kwa sasa endeleeni kubwabwaja.
 
Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.
Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.
Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?
Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.
Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli

Tum miss kwa jambo lipi??!;
 
Samia kasema huwa anasikia sauti yake.
 
Mbona we umemmisi, kitendo cha kuandika tu hivi ni kiashiria tosha umemkumbuka.
 
Mda mrefu nimekaa nikatafakari ili swali. Ni kweli WATANZANIA hawammisi wala kumkumbuka Rais wa zamani Hayati Magufuli.
Watumishi wa umma hawammis, wabunge, majeshi yetu, hata wafanyabiashara na vyama vya upinzani havimmisi.
Ye mwenyewe alisema tutamkumbuka, Ila mbna hatumkumbuki?
Kumbe dunia hii hakuna mtu wa muhimu Sana, mtu akifa watu wanamsahau. Na maisha yanaendelea.
Tanzania inaendelea vizuri tu bila Magufuli
Jisemee ww, me namkumbuka sana rais wangu bora wa muda wote
 
Back
Top Bottom