Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Hujui lolote.Mtakubaliana na mimi kwamba, wakati wa JPM ajali za barabarani zilipungua mno, lakini kwa sasa hali si shwari. Karibu kila siku na kila kona hatukosi kusikia ajali.
Kwa nini hali imekuwa hivi?
Traffic zakufutia viatu wanazikazia kuliko kufuata sheriaMtakubaliana na mimi kwamba, wakati wa JPM ajali za barabarani zilipungua mno, lakini kwa sasa hali si shwari. Karibu kila siku na kila kona hatukosi kusikia ajali.
Kwa nini hali imekuwa hivi?
Ni kxeli! JPM alikuwa ni mcha MunguMtakubaliana na mimi kwamba, wakati wa JPM ajali za barabarani zilipungua mno, lakini kwa sasa hali si shwari. Karibu kila siku na kila kona hatukosi kusikia ajali.
Kwa nini hali imekuwa hivi?
Wacha ujinga mwamba! Wakati wa jiwe ajali zilikuwa nyingi lakini zilikuwa hazitangazwi!Mtakubaliana na mimi kwamba, wakati wa JPM ajali za barabarani zilipungua mno, lakini kwa sasa hali si shwari. Karibu kila siku na kila kona hatukosi kusikia ajali.
Kwa nini hali imekuwa hivi?
Kwamba siku izi hakuna tochi barabarani au unataka kusema nini?ni kweli kbisa kuna tofauyi kubwa sana, safari ya kwenda moshi iliyokuwa mtu unafika saa 11 kipindi cha JPM ,sahivi saa 9 upo nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano zipi zilizo tokea na hazikutangazwa unazo zifahamu?Zilikuwa hazitangazwi sio kupungua.
Wewe unajua nini?Hujui lolote.
Ajali gani ilitokea hatukutangaziwa?Zilikuwa hazitangazwi sio kupungua.
Mfano ajari zipi zilizo tokea na hazikutangazwa kipindi Cha jpm?Wacha ujinga mwamba! Wakati wa jiwe ajali zilikuwa nyingi lakini zilikuwa hazitangazwi!
Toa evidenceWacha ujinga mwamba! Wakati wa jiwe ajali zilikuwa nyingi lakini zilikuwa hazitangazwi!
Ajali gani haikutangazwa?Ajali zilipungua/kuacha kutangazwa.
Sasa mkuu utazijuaje na hazitangazwi?Mfano zipi zilizo tokea na hazikutangazwa unazo zifahamu?