Nitamkumbuka kwa kuwaletea watanzania umaskini na ufukara maradufu, Mara dahari kuliko watangulizi wake ?
Kweli ndugu, yani was kukumbukwa hapa ni walioteseka na kufa chini ya utawala wake, yeye asahaulike kama hakuwahi kuwepo vile, worst president yet!Nidhamu ipi Serikalini wakati utendaji umeshuka sana kutokana na go slow attitude ya Wafanyakazi wengi kwa kutoongezewa mishahara? Nidhamu ipi ya kufukuza watu kiholela bila kufuata taratibu husika ambazo zinalinda haki ya Wafanyakazi?
We utakuwa muangaliaji wa propaganda za TBC
acha ujinga,Acha chuki
Watu wanaomsifu Meko wanaangukia ktk moja ya makundi haya;
1- Makada was CCM, hawa wanamsifu bila choice, wakati mwingine kinafiki, kwasabu wasiposifu waaonekana wasaliti.
2- Watu wasio wapambanaji (kula kulala), hawa hawaoni changamoto za kiuchumi ambazo watu wapambanaji wanaziona kwenye utafutaji, hawa ni kuamka, kula, kuangalia muvi na kulala.
3- Watu ambao hawajui lolote linaloendelea duniani, hawa huangalia TBC muda wote, so wamejazwa na propaganda za kipuuzi za TBC, wakiambiwa tupo kwenye vita ya uchumi wanaamini, hawajiulizi "ni nani atapoteza muda kupambana na maskini?", wakiambiwa sisi ni tajiri, wanashangilia tu.
acha ujinga,
1-Kuua ni mapungufu ya kibinadamu?Acha kutuaminisha ya kuwa wewe ndio unaijua nchi hii, binafsi mimi sio mtu wa siasa kabisa nayasema haya kwa jicho lisilolenga na kuona siasa. JPM alikuwa kiongozi mzuri hata kama alikuwa na mapungufu ni ya kibinadamu na alilazimika kufanya aliyoyafanya kwa manufaa na maslahi ya nchi na sio maslahi binafsi.
Mimi nimeuacha upumbavu, we we endelea naoAcha upumbavu
1-Kuua ni mapungufu ya kibinadamu?
2- kubambikia watu kesi ni mapungufu ya kibinadamu?
3- kupenda kuabudiwa kama Mungu ni mapungufu ya kibinadamu?
Hauko sawa wewe
Vita gan ? Sasa au in five years mmefanya Jambo gani la maana .
Think twice eti vita ya uchumi yaan chawa wa ccm niwapuuzi.