Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
View attachment 2195826

Magufuli ni kiongozi mwenye maono.

Watanzania wanajua alvyogusa maisha yao.
Cha zaidi alichofanya ni kuruhusu biashara holela tu ili maskini wajione wako huru lakini mwishowe wote hao ndio umaskini umeongezeka mara dufu. Haina tofauti na mama wa kambo anaruhusu mtoto wa mme wake alewe hovyo kumbe nyuma ya pazia anajitwalia mali zake kwa kua mlevi hajitambui na hajui haki zake.
 
Mtu hayupo hai lakini bado ana nguvu kuliko walio hai. Sababu si nyingine yoyote zaidi ya kwamba kama kiongozi aliyaishi maisha ya utumishi na kazi yake imeandikwa mioyoni mwa watu. Kama vipi na watuue na sisi basi tuone kama watatumaliza.
 
Hivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?
Walijiteka,wengine walijipoteza, madaraja yalikuwa yanajengwa

😉

...walakini kulikuwa na vyama vingi vya kisiasa au nimekosea?, Je uliweza uliza kwa msajili kama chama kilikuwa kimoja? Au umezusha hayo?

Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Anaye na shida ni wale wanaonekana kila siku na uhasama hasi, wakati
Hawakubali , wanaleta mipicha, wanatunga kwaya, wanaimba na chereko chereko kibao kama hizo juu
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!
Umemuona na kumsikia wapi huyo mungu? (yumo kwenye tungi la asali) Huyo mungu gani asiye wa wafu? Tuelimishe yupo wapi basi! Mbona huyo mungu, huyo unayemtaja ni wa kushangaza? Ajabu hizi!
Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.
Wengi Waisilamu huwa hawasomi baibuli na Wengi Wakristo huwa hawasomi kuran...unawaelimisha vipi?
Mbona unachanganya mambo? Au ndio uliyofundishwa Exeter Hall?
Sasa sijui kwanini unataka watu wasahau halafu unaleta picha? Huyo mungu wako hajakukataza?

Weka tusi chini...
 
Maisha ni kutesana kwa zamu kipindi cha mwenda zake nilisota for three years bila ajira ila mungu sio athumani ajira zimetoka nao na nineona nuru kwa hyo usifosi watu wafanane #kila mtu ashinde mechi zake # maendeleo hayana chama
 
Yupo wapi sasa na ubabe wake yupo wapi?
Ee tuambizane Yupo wapi
Mbabe gani huyo asiye na jina?
Ww ndio utuambie , ubabe upi huo?yupi? Yule Mzanzibari- nasikia kuna mmoja huko kisiwani aliitwa mbabe, alikuwa na ubabe- ndio huyo?
Mathayo 2:19-20
Jina hili kama la muuza chipsi mayai pale sanya juu na bei za sahani mbili kwa sh 21920 zege la nguvu na mazagazaga yote!
Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto huko Misri

20 kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wanatafuta uhai wa mtoto wamekufa.”
Hayo juu waulize wapalestina, ati warudi israeli, watakwambia yaliyowakuta huko.
Tuwekee na mstari mbadala
 
Maisha ni kutesana kwa zamu kipindi cha mwenda zake nilisota for three years bila ajira ila mungu sio athumani ajira zimetoka nao na nineona nuru kwa hyo usifosi watu wafanane #kila mtu ashinde mechi zake # maendeleo hayana chama
Haya basi, na wewe uende ukatese.
 
Hivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?

Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!

Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.

View attachment 2195818
We ni fala, kutekwa mlifanya ninyi ili kutengeneza upumbavu wenu wa kuonyesha nchi ilikua haitawaliki, nasema hivi... Ni ngumu kuwaaminisha waTanzania kwamba JPM alikua hafai, ni ngumu sana sana na haitatokea, badilisheni maneno yawe mengine na si haya
 
Hivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?

Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!

Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.

View attachment 2195818
Kuna makundi mawili hapo
1 wasiojielewa kwa maana ya wajinga
2 wachumia tumbo , utawala wa jiwe japo ulikuwa wa kibabe kuna watu walinufaika nao,
 
Watu wanavyokomaa na hoja za kumpinga Rais, utafikiri ipo siku Magu atarudi..[emoji1787]
Kubalini matokeo nyie Wagaigai kila jambo lina wakati wake.
Mnateseka bure tu.

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom