Hivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?
Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!
Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.
View attachment 2195818