Nendeni chato mkazikwe naeWewe mwenyewe ndio haujielewi!
Wewe ndo hujielewi mtetea legacy msengerema 🚮🚮🚮Wewe mwenyewe ndio haujielewi!
Hakuna mwenye akili nzuri atamshabikia Magufuli.Mkuu umeua kabisa,
angekuwa anajielewa kwanza angetafuta majibu kwa nini watu tunataka kurudi huko kwenye hayo yote aliyoyataja kabla ya kuanza kulia lia hapa!!
Cha zaidi alichofanya ni kuruhusu biashara holela tu ili maskini wajione wako huru lakini mwishowe wote hao ndio umaskini umeongezeka mara dufu. Haina tofauti na mama wa kambo anaruhusu mtoto wa mme wake alewe hovyo kumbe nyuma ya pazia anajitwalia mali zake kwa kua mlevi hajitambui na hajui haki zake.
Mtu hayupo hai lakini bado ana nguvu kuliko walio hai. Sababu si nyingine yoyote zaidi ya kwamba kama kiongozi aliyaishi maisha ya utumishi na kazi yake imeandikwa mioyoni mwa watu. Kama vipi na watuue na sisi basi tuone kama watatumaliza.Cha zaidi alichofanya ni kuruhusu biashara holela tu ili maskini wajione wako huru lakini mwishowe wote hao ndio umaskini umeongezeka mara dufu. Haina tofauti na mama wa kambo anaruhusu mtoto wa mme wake alewe hovyo kumbe nyuma ya pazia anajitwalia mali zake kwa kua mlevi hajitambui na hajui haki zake.
Walijiteka,wengine walijipoteza, madaraja yalikuwa yanajengwaHivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?
Anaye na shida ni wale wanaonekana kila siku na uhasama hasi, wakatiKule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Umemuona na kumsikia wapi huyo mungu? (yumo kwenye tungi la asali) Huyo mungu gani asiye wa wafu? Tuelimishe yupo wapi basi! Mbona huyo mungu, huyo unayemtaja ni wa kushangaza? Ajabu hizi!Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!
Wengi Waisilamu huwa hawasomi baibuli na Wengi Wakristo huwa hawasomi kuran...unawaelimisha vipi?Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.
Sasa sijui kwanini unataka watu wasahau halafu unaleta picha? Huyo mungu wako hajakukataza?
Mbabe gani huyo asiye na jina?Yupo wapi sasa na ubabe wake yupo wapi?
Ee tuambizane Yupo wapi
Jina hili kama la muuza chipsi mayai pale sanya juu na bei za sahani mbili kwa sh 21920 zege la nguvu na mazagazaga yote!Mathayo 2:19-20
Hayo juu waulize wapalestina, ati warudi israeli, watakwambia yaliyowakuta huko.Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto huko Misri
20 kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wanatafuta uhai wa mtoto wamekufa.”
Maelezo!N
Hakuna mwenye akili nzuri atamshabikia Magufuli.
Haya basi, na wewe uende ukatese.Maisha ni kutesana kwa zamu kipindi cha mwenda zake nilisota for three years bila ajira ila mungu sio athumani ajira zimetoka nao na nineona nuru kwa hyo usifosi watu wafanane #kila mtu ashinde mechi zake # maendeleo hayana chama
Sure mkuu, yaan wanateseka saana.Kuna watu wanateseka for nothing
We ni fala, kutekwa mlifanya ninyi ili kutengeneza upumbavu wenu wa kuonyesha nchi ilikua haitawaliki, nasema hivi... Ni ngumu kuwaaminisha waTanzania kwamba JPM alikua hafai, ni ngumu sana sana na haitatokea, badilisheni maneno yawe mengine na si hayaHivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?
Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!
Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.
View attachment 2195818
Kuna makundi mawili hapoHivi mnataka turudi kule kule?

Ndo akili zako zimeishia hapo[emoji23][emoji23][emoji23] jinga mmojaNendeni chato mkazikwe nae