Huenda wanaunga mkono itikadi zake.... kuna chama limeanzishwa eti linatumia picha ya yule marehemu! Vichekesho kweli kweli; hata ya "Mwenye Heri" haikuwahi kutumika sembuse ya yule! Kwa matumizi ya picha la yule dhalimu tayari wamefeli kabla hawajaanza.
Tunajua kazi yako ni kubebea watu vibegi na simu huku ukiwasifia, ukikaa mezani kulinda vibia vyao,,hata wakijampa wewe watoa kisauti hiyo ni sawa boss,Hivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?
Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!
Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.
View attachment 2195818
Hivi mnataka turudi kule kule?
Kutekana? Kupotea? Wafanyakazi kukaa miaka saba bila nyongeza Wala kupanda madaraja?
Mnataka turudi kwenye nchi ya Chama kimoja Tena?
Kule kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujifanya miungu watu?
Mnataka turudi kule jamani?
Mpo serious??
Halafu mbona kama hamtaki kukubali kuwa Bwana ametoa Bwana ametwaa?
Tuendelee na maisha mapya Mungu sio Mungu wa Wafu! Ni Mungu wa sisi tulio hai sasa hivi...
Yaliyopita yamepita!
Luka 20:38
Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.
View attachment 2195818
... kuna chama limeanzishwa eti linatumia picha ya yule marehemu! Vichekesho kweli kweli; hata ya "Mwenye Heri" haikuwahi kutumika sembuse ya yule! Kwa matumizi ya picha la yule dhalimu tayari wamefeli kabla hawajaanza.
Mkuu umeua kabisa,
angekuwa anajielewa kwanza angetafuta majibu kwa nini watu tunataka kurudi huko kwenye hayo yote aliyoyataja kabla ya kuanza kulia lia hapa!!
Maisha ni kutesana kwa zamu kipindi cha mwenda zake nilisota for three years bila ajira ila mungu sio athumani ajira zimetoka nao na nineona nuru kwa hyo usifosi watu wafanane #kila mtu ashinde mechi zake # maendeleo hayana chama
Subiri upepo utakapovuma ndio utatamani kufuta hii comment yako.
Mtu hayupo hai lakini bado ana nguvu kuliko walio hai. Sababu si nyingine yoyote zaidi ya kwamba kama kiongozi aliyaishi maisha ya utumishi na kazi yake imeandikwa mioyoni mwa watu. Kama vipi na watuue na sisi basi tuone kama watatumaliza.
Kwa wapiga dili na waovu ovu mbona watamchukia milele. But the man hakuwa pale kumfurahisha mtu, alikuwa pale kufanya kazi yake kwa ukamilifu. Kama wapo waliumizwa kupitia utendaji wake na kama wapo waliofurahishwa hayo ni matokeo ya utendaji. La msingi ni kwamba maisha yake mafupi yalitanabaishwa na matokeo yaliyoacha alama. Na legacy yake kubwa ni spirit aliyotuachia. Mnapambana na nguvu kubwa na hamtashinda.Nguvu ipi aliyo nayo zaidi watu kukumbuka maovu yake, hata hitler hakutoka midomoni mwa watu mpaka leo kwa sababu ya uovu wake,
Unafikiri Idd Amini haongelewi, anaongelewa sana kwa sababu alikuwa kiongozi mzuri au?
No way unaweza pinga fact kwa majungu... ukatili, dharau, majivuno, kujisikia, kujiinua, kujitukuza, kiburi, majivuno, kebehi, ngebe, kujisifu, visasi, n.k. ukishakuwa nayo hayo yanaondoa sifa zote njema binadamu anazotakiwa kuwa nazo; in fact hayo hayachangamani na sifa njema kamwe! Elewa!
Huyu ni anafanya ExtraVagant, ni anatumia hasa, huku Raia wakifa kwa njaaaNi hatari amekwenda na genge la watu Mia 222 Dubai alikwenda na genge la watu 150 !Fanya hesabu kila mtu Kwa siku anakula tshs 50000
Kabisa kwenye kujali hapo jamaa ana point zakeWatakuja kukupinga wanonunua mafuta Lita moja kwa elfu tano.
Ila kwa kweli japokua sikumkubali kwa mengi kubwa ikiwa chuki kwa walompinga, Ila kwa upande wa kujali raia magufuli alikua kiongozi.
Stili alijali watu wake, huyu Mama ni hapana huyu ni kama Mke wa yule Mfarume wa Ufaransa alie sababisha French revulution... ukatili, dharau, majivuno, kujisikia, kujiinua, kujitukuza, kiburi, majivuno, kebehi, ngebe, kujisifu, visasi, n.k. ukishakuwa nayo hayo yanaondoa sifa zote njema binadamu anazotakiwa kuwa nazo; in fact hayo hayachangamani na sifa njema kamwe! Elewa!
Stili alijali watu wake, huyu Mama ni hapana huyu ni kama Mke wa yule Mfarume wa Ufaransa alie sababisha French revulution
Muwe mnatoa na mapendekezo, kwa hiyo tufanyeje?Watakuja kukupinga wanonunua mafuta Lita moja kwa elfu tano.
Ila kwa kweli japokua sikumkubali kwa mengi kubwa ikiwa chuki kwa walompinga, Ila kwa upande wa kujali raia magufuli alikua kiongozi.
mapungu ndiyo mdudu gani?Ukiachana na mapungufu mengi kubwali likiwa la kuto taka kukosolewa kuliko pelekea kuongoza kwa mkono wa Chuma bado Magu alikuwa anawajali wananchi, nima uhakika angekuwepo hizi bei zisingepanda kihivyo, Magu alikuwa hapendi kuoma watu wakilalamika ni toafuti na huyu wa sasa ambaye yeye ndo kwanza anaponda raha huku watu wanaumia sana na bei za vitu.
Mbaya zaidi hata Waziri wake Mkuu anashangaa kwa nimi vitu vinapanda bei.
Haiwezekani Gharama za maisja zinapanda na hakuna solution ya muda mfupi na ndo kwanza Raisi ana stay two week Marekani huku raia wakiumia na mbaya sana anatumia pesa za hao wanao umia huku.