Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Sio kwamba ni fisadi, huyo ni kijana Muhuni Mmoja mjanja mjanja alizoea Maisha ya ujanjaujanja sana, Sasa Kwa Uongozi wa JPM ,watu wenye matope vichwan ,midomo mirefu, walikua hawatoboi !!

JPM aliwapa shida sana sana !!.
Ndo mana aliwaita watengeneza ndege chumbani pale ikulu akawa procurement wa officer wa taifa.
Wewe unashangilia 10% ya ndege moja ni shilingi ngapi????
 
Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini Chato
Mshukuru sana Mungu anaekupa pumzi hii ambayo inakufanya ujione wewe ni kitu hapa duniani hadi ujiite mwamba hasa,muda wako wa kudunda hakika utafika mwisho na hautadunda tena,bali utabaki mifupa baada ya minofu yako kutafunwa na funza,muda wako bado ila tu kadri siku inavyoisha ndo muda wako wa kudunda unapungua,Mungu hadhihakiwi siku yako yaja!
 
Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani

Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Madaraja Sio Legacy Nani leo anamkumbuka aliyejenga Daraja la Surrender? Hata Wizara ya Ujenzi ukiwauliza hawamkumbuki

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani

Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Kajenge lako na ww kama unaona wivu
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
Kesho Yako Unaijua?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Alikuibia uchaguzi uligombea Jimbo gani?

Unashangilia mwenzio kufa tena kifo cha kitandani,,

Hivi kifo chako unakijuwa ni cha aina gani?
Alitaka mfe kwa kupigwa risasi akina Nani?
Wacha ushabiki wa sokoni mkuu.
Anataka Sifa Anko Magu Alifanya Mambo Mengi Mazuri Kuliko Mabaya.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndo first time kusikia Mtu anaacha urithi wa madaraja Mabovu Aibu kubwa
Kosa ni Lako Mwananchi . kodi zako zimejengea halafu unasema Kanda ya Ziwa. Watanzania Hatuna Uchungu na Pesa Zetu
 
Wanahangaika kuliko kawaida.

Sijui huwa wanatokewa na mzimu wa Magufuli?

Hii ni mara yangu ya kwanza kuona watu wanapigana na kaburi! Mweeeh!!

Yule jamaa ni kiboko! Kwa kweli. Sijui aliwafanya nini hawa majizi!? Manake kwanza hapo nicheke!
Aliawaambia hata wakimuua atarudi... naona ndio anapita nao kila siku wanaweweseka.
 
Huyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani

Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Kuna vitu hauwezi kuvielewa mpaka Muda na Umri vikikuruhusu
 
Sio kwamba ni fisadi, huyo ni kijana Muhuni Mmoja mjanja mjanja alizoea Maisha ya ujanjaujanja sana, Sasa Kwa Uongozi wa JPM ,watu wenye matope vichwan ,midomo mirefu, walikua hawatoboi !!

JPM aliwapa shida sana sana !!.

Saa hii anapewa shida na wadudu huko kaburini chattle.
 
Mshukuru sana Mungu anaekupa pumzi hii ambayo inakufanya ujione wewe ni kitu hapa duniani hadi ujiite mwamba hasa,muda wako wa kudunda hakika utafika mwisho na hautadunda tena,bali utabaki mifupa baada ya minofu yako kutafunwa na funza,muda wako bado ila tu kadri siku inavyoisha ndo muda wako wa kudunda unapungua,Mungu hadhihakiwi siku yako yaja!
Hatuwezi kuacha kusema ukweli kuhusu UHAYAWANI wa huyu kichaa waChato eti kwa sababu na sisi tutakufa. Mbona hili liko wazi, nilikuja siku moja na nitaondoka siku moja. Lakini siwezi kuandikwa wala kulaaniwa na watu kama anavyo laaniwa huyu DIKTETA.

Kusifia madaraja aliyojenga ni huku tukikaa kimya kwenye UNYAMA aliowafanyia Watanzania wengine UPUMBAVU mtupu.

Na wewe Lutandagula shukuru ndugu yako hakuuliwa na kuwekwa kwenye kiroba
 
Kesho Yako Unaijua?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kesho yangu ninaijua ni kufa tu kama nilivyozaliwa.

Tusijifiche kwenye hiyo nahau kwa kuwa tuna encourage aje mtu aue, ateke, anyang'anye fedha kwa kuwa tu hatuijui kesho yetu.

Magufuli alituma watu wakamshambulie Tundu Lissu kwa kupishana kauli tu mikataba ya madini. Je alikuwa anaijua kesho yake? Mbona hamukumuambia?
 
Back
Top Bottom