Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ndo mana aliwaita watengeneza ndege chumbani pale ikulu akawa procurement wa officer wa taifa.Sio kwamba ni fisadi, huyo ni kijana Muhuni Mmoja mjanja mjanja alizoea Maisha ya ujanjaujanja sana, Sasa Kwa Uongozi wa JPM ,watu wenye matope vichwan ,midomo mirefu, walikua hawatoboi !!
JPM aliwapa shida sana sana !!.
Utakuwa unafilimbwa sio bure!Ukweli lazima usemwe hamnaga Legacy ya madaraja mabovu
Mshukuru sana Mungu anaekupa pumzi hii ambayo inakufanya ujione wewe ni kitu hapa duniani hadi ujiite mwamba hasa,muda wako wa kudunda hakika utafika mwisho na hautadunda tena,bali utabaki mifupa baada ya minofu yako kutafunwa na funza,muda wako bado ila tu kadri siku inavyoisha ndo muda wako wa kudunda unapungua,Mungu hadhihakiwi siku yako yaja!Ukiboko wake uko wapi? Mbona kafa na kamasi za corona?? Sisi tulio hai ndiyo miamba hasa, katufanyia kila Hila kuanzia kututeka, kuua, kunyang'anya fedha zetu lakini bado tunadunda. Yeye huyo aoza kaburini Chato
Mkuu unahangaika na Profound!Na bado,amewapelemba angali yu hai na sasa anawapelemba akiwa kaburini.
MAGUFULI mimi ni mfuasi wako daima
Madaraja Sio Legacy Nani leo anamkumbuka aliyejenga Daraja la Surrender? Hata Wizara ya Ujenzi ukiwauliza hawamkumbukiHuyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Kajenge lako na ww kama unaona wivuHuyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Kesho Yako Unaijua?Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake
Hicho ndicho kinatufurahisha
Anataka Sifa Anko Magu Alifanya Mambo Mengi Mazuri Kuliko Mabaya.Alikuibia uchaguzi uligombea Jimbo gani?
Unashangilia mwenzio kufa tena kifo cha kitandani,,
Hivi kifo chako unakijuwa ni cha aina gani?
Alitaka mfe kwa kupigwa risasi akina Nani?
Wacha ushabiki wa sokoni mkuu.
Haya Tuambie Wewe Legacy Ilibidi Aache Nini?Hawaelewi maana ya legacy. Alishabikiwa na low minds. Na ndio hao hao ambao hawaelewi hata maana ya legacy. Daraja, barabara hata majengo, haviwezi kuwa legacy.
Kosa ni Lako Mwananchi . kodi zako zimejengea halafu unasema Kanda ya Ziwa. Watanzania Hatuna Uchungu na Pesa ZetuMimi ndo first time kusikia Mtu anaacha urithi wa madaraja Mabovu Aibu kubwa
Aliawaambia hata wakimuua atarudi... naona ndio anapita nao kila siku wanaweweseka.Wanahangaika kuliko kawaida.
Sijui huwa wanatokewa na mzimu wa Magufuli?
Hii ni mara yangu ya kwanza kuona watu wanapigana na kaburi! Mweeeh!!
Yule jamaa ni kiboko! Kwa kweli. Sijui aliwafanya nini hawa majizi!? Manake kwanza hapo nicheke!
Kuna vitu hauwezi kuvielewa mpaka Muda na Umri vikikuruhusuHuyu Jamaa wa kanda ya ziwa kwa jinsi alivyojenga madaraja yaliyo chini ya viwango na Bado mnataka legacy gani
Yaani watu ambao mmezaliwa Tz bila hata kwenda nje mnaweza mkaamini kuwa Legacy Ni madaraja tu.
Umeshachimba kaburi lako pembeni ya kaburi la dhalimu? Ngoja nifasi zijae.ππππππππIla mnapata shida hakika roho anawasumbua. Mtapata sana shida. Hamta sahau.
Sio kwamba ni fisadi, huyo ni kijana Muhuni Mmoja mjanja mjanja alizoea Maisha ya ujanjaujanja sana, Sasa Kwa Uongozi wa JPM ,watu wenye matope vichwan ,midomo mirefu, walikua hawatoboi !!
JPM aliwapa shida sana sana !!.
Una mdomo mchafu sana wewe. Kila post yako ni utumbo tuMafisadi mmepata chaka lingine la propaganda.
Mbona mama yenu hajajenga hata banda la kuku anazurura tu kwa mabeberu akigawa uroda kwa Peter Greenbird sijui Greenburg!
Selander Bridge siyo SurrenderMadaraja Sio Legacy Nani leo anamkumbuka aliyejenga Daraja la Surrender? Hata Wizara ya Ujenzi ukiwauliza hawamkumbuki
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
The opposite is trueAnataka Sifa Anko Magu Alifanya Mambo Mengi Mazuri Kuliko Mabaya.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hatuwezi kuacha kusema ukweli kuhusu UHAYAWANI wa huyu kichaa waChato eti kwa sababu na sisi tutakufa. Mbona hili liko wazi, nilikuja siku moja na nitaondoka siku moja. Lakini siwezi kuandikwa wala kulaaniwa na watu kama anavyo laaniwa huyu DIKTETA.Mshukuru sana Mungu anaekupa pumzi hii ambayo inakufanya ujione wewe ni kitu hapa duniani hadi ujiite mwamba hasa,muda wako wa kudunda hakika utafika mwisho na hautadunda tena,bali utabaki mifupa baada ya minofu yako kutafunwa na funza,muda wako bado ila tu kadri siku inavyoisha ndo muda wako wa kudunda unapungua,Mungu hadhihakiwi siku yako yaja!
Kesho yangu ninaijua ni kufa tu kama nilivyozaliwa.