Mafisadi mmepata chaka lingine la propaganda.

Mbona mama yenu hajajenga hata banda la kuku anazurura tu kwa mabeberu akigawa uroda kwa Peter Greenbird sijui Greenburg!
Umeandika kwa utovu mkubwa wa nidhamu kwa niaba ya huyu ndugu niwatake radhi wanawake wote.
 
Mafisadi mmepata chaka lingine la propaganda.

Mbona mama yenu hajajenga hata banda la kuku anazurura tu kwa mabeberu akigawa uroda kwa Peter Greenbird sijui Greenburg!
Uhuru una mipaka. Tumia vizuri UHURU wako.
 
Huo ndio ukweli ndugu zangu!

Tumechelewa sana kupata baba wa kambo mwenye asili ya mabeberu!

Sasa hivi tuko kwenye honeymoon, ni mwendo wa kupishana tu angani!

Mama anaupiga mwingi.[emoji39][emoji39]
Mm nikiona mtu kaanza jadili maisha binafsi nakaa mbali.
 
Safi sana, umemchambua sahihi kabisa na hata hao wafuasi wake.
 
nawakumbusha tuu ni mwaka 1 na siku kadhaa zimepita toka jpm afariki

na mlivo pumbafu hamtakoma kutuletea story zake!!
Tunaacha vipi, kutoa vituko vya mwehu Jiwe! Ili yasijirudie!
 
1.Malipo ya serikali kupitia control number.
2. Kuanzishwa wizara ya madini
3. Kuvunja jiji la Dsm
4. Kufuta kuanzishwa bandari ya Bagamoyo
5. Kuanzishwa kwa Jeshi usu
6. Ujenzi wa daraja la busisi mwanza
7. Kuhamishia makao makuu dodoma
8. Kumfukuza nape na makamba uwaziri
 
Kwa kuiba kura na kuharibu chaguzi.
 
Namkumbuka kama ni raisi ambae hajui siasa na alikuwa anatupeleka ZIMBABWE nasema hivyo kwasababu nilikuwa namfuatilia kwa ukaribu sana kama boss wangu.
 
Mama anataka kuturudisha kwenye zama za kuwatetemekea wanaoenda Ulaya. Mama kaenda Marekani anatamani tumlambe nyayo. Kila kitu Marekaniii Marekaniii

Mwaka fulani nilienda Ulaya wakati mswaki huku ni mia tano kule ni Euro tano sawa na elfu 12000 wakati huo. Sasa kulinganisha Marekani au Ulaya na Tanzania kwenye maswala ya bei (Price) bila kujali exchange rate ni kutuhadaaa na kutuona washamba
 
Kuna kakundi kameibuka kujifanya ooo tu namkumbuka Magufuli …
Hapa kinachooneka ni kwa lile kundi lililokuwa linanufaika na uwepo wa Marehemu madarakani ambalo kwa Sasa wanaona hawana chao na hawana uhakika wa kesho yao. Hawa ndio wanaopiga ...
Ahsante sana,Umetoa elimu kwa wale manazi wa Kayafa.
 
Nina mengi mabaya na mazuri ila jambo kubwa apunzike kwa Amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…