Kuna siku rais Magufuli alisema ipo siku tutamkumbuka, nimeona baadhi ya vijana wakimkashifu sana ila nawahakikishia siku si nyingi watakapo takiwa kuvunja vibanda vyao kupisha wawekezaji watajikuta wanamlilia waliye mtusi.

By
#Chawa_wa_Mama
 
Magufuli ameacha nini? Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate na Kairuki, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari
 
Vipe vile kwa kuwaonea watu. Kuwafunga kwa alichokiita uhujumu uchumi, kisha kushirikiana na rafiki, Mganga, kupora pesa zao, kama ilivyothibitishwa na CAG. Ni ujambazi wa hali ya juu. Unamtesa mtu ili akubali kukupa pesa.

Alikuwa kiongozi mwongo, mnafiki na laghai. Kujifanya mzalendo, kumbe mwizi!
 
Usisahau:-
1. Vyet feki kudhibitiwa
2. Mikataba ya hovyo ya wizi wa raslimqli za wananchi kurekebishwa kama Madini
3. Watumishi hewa
4. Miradi yenye tija kwa nchi badala ya marupurupu ya hovyo kwa safari na mikutano I siyo Na tija.
5. Kukomesha mafisadi
6. Kukomesha madawa ya kulevya
7. Kurudisha heshima ya nchi Na Uwajibikaji kwenye Ofisi za umma.
8. Kujenga mifumo ya ukusanyaji kodi Na mapato ya serikali

Msiwe mnasahau mambo ya msingi ambayo ni strategic aliyoyasimamia kwa Maslahi mqpana ya ujenzi wa nchi Na siyo upuuzi wenu wa kuzungumzia petty issues za kudiscuss watu by names that’s simple minds.
 
Mh kweli alikupelekea moto hadi huruma ndg yote hayo unayotilolika pole sana soon utakifungua
 
Ile Magufuli ni LAANA, Mungu katuepushia mbali, isijekutokea tena nchini mwetu.
 
Kuna siku rais Magufuli alisema ipo siku tutamkumbuka, nimeona baadhi ya vijana wakimkashifu sana ila nawahakikishia siku si nyingi watakapo takiwa kuvunja vibanda vyao kupisha wawekezaji watajikuta wanamlilia waliye mtusi.

By
#Chawa_wa_Mama
PUMBA
 
Ujinga ni kuto appreciate kazi kubwa ya JPM
Hayo unayoita mazuri alikuwa ana tekeleza majukumu yake ya Urais hatuna haja ya ku deal na hayo. Ni sawa na wewe kama ni Baba mwenye watoto utake wakusifie kwa kununua mkate na kupeleka nyumbani. Ila ni UWENDAWAZIMU kunyamazia UDHALIMU wa Mwendazake kama ule wa kuua watu na kuiweka kwenye viroba kisha kuwatupa baharini, kumshambulia Tundu Lissu kwa risasi, kunyang'anya fedha za wafanyabiashara, kunyang'anya fedha za buteaux na kukataa kupeleka miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani
 
Mikataba ya madini imeshakufaidisha nini mpaka sasa?
 
NILIVYOONA KICHWA CHA HABARI, NILIFIKILI UMEORODHESHA MIKATABA ILIYOSAINIWA NA MAGUFULI NA AKAIWEKA WAZI. kumbe umekuja na pumba ya kiwango cha
 
Sasa mbona anachukiwa na Watanzania wengi?
 
Magufuli alikuwa kiongozi mwenye kuona mbali sana alijitenga Sana na waovu mashetani na wanafiki hawakumuelewa hasara za kuambatana na wanafiki kama akina Mbowe zimeanza kuonekana Sasa
Jiwe alikuwa laana kwa taifa
 
Kuna siku rais Magufuli alisema ipo siku tutamkumbuka, nimeona baadhi ya vijana wakimkashifu sana ila nawahakikishia siku si nyingi watakapo takiwa kuvunja vibanda vyao kupisha wawekezaji watajikuta wanamlilia waliye mtusi.

By
#Chawa_wa_Mama
Ukimlilia Jiwe inabidi ujitafakari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…