Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Siku moja mtamkumbuka JPM.Sisi Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.
Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.
Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.
Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam
Hakuna atakayeepuka kulamba mchanga, lakini kushikishwa ukuta ni uchaguzi wa mtu. Jamaa kachagua mwenyewe.Maneno ya mkosaji hayo 😁
Bosi wenu kafa sijui nani atawaweka Mjini
Mimi ninaushahidi wa Chizi wako kulamba mchanga na wewe leta ushahidi wako kuhusu Lissu.Hakuna atakayeepuka kulamba mchanga, lakini kushikishwa ukuta ni uchaguzi wa mtu. Jamaa kachagua mwenyewe.
Mbona alikataa kuvaa Barakoa?Nahisi alikua anajua hatari iliyopo mbele yake.
Polepole amekataa,nini kimenpata?Mbona alikataa kuvaa Barakoa?
Tumwache apumzike anakostahili jamani!Kwa nini JPM alisema maneno hayo?
Hao wote walikuwa na Magonjwa kasoro Polepole.Polepole amekataa,nini kimenpata?
Uluona ule mtiririko wa vifo?
Anza wewe kuzikwa alipozikwa mama yako.Kazikwe chato
TAKATAKA ile imekwisha kufa na ndiyo mwisho wake. Wacha misukule yake tu iliyokuwa inafaidi utawala wake ndiyo imkumbuke kama Bashiru, Polepole na MakondaSiku moja mtamkumbuka JPM.
Ndio nani kwanza JPM ?Siku moja mtamkumbuka JPM.
Huyo chizi zezeta wako sasa hivi marinda nyang'anyang'a na bado atalamba mchanga kama everybody elseMimi ninaushahidi wa Chizi wako kulamba mchanga na wewe leta ushahidi wako kuhusu Lissu.
Alisema vita ya kiuchumi (kuwanyang'anya watu tonge mdomoni) siyo lelemama.Nahisi alikua anajua hatari iliyopo mbele yake.
Unatuuliza sisi tena mkuu badala ya wewe muanzisha mada utueleze?Kwa nini JPM alisema maneno hayo?