Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Sisi Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam
Siku moja mtamkumbuka JPM.
 
Eti "amesacrifice maisha yake" wakati alikuwa anajua kuwa anaishi kwa msaada wa Betrii aliyowekewa na Mabepari.
mj-spits.gif
 
Kwa nini JPM alisema maneno hayo?
Tumwache apumzike anakostahili jamani!

Lkn ni mtu pekee aliyekuwa anawapiga vita maadui na marafiki kwa wakati mmoja!

Au niseme hivi alikuwa anampiga vita shetani na Mungu pia! Sijui alikuwaje!?
 
Polepole amekataa,nini kimenpata?
Uluona ule mtiririko wa vifo?
Hao wote walikuwa na Magonjwa kasoro Polepole.

Anyway Kifo cha Chizi kileta faraja kubwa kwenye Taifa hili.
 
Siku moja mtamkumbuka JPM.
TAKATAKA ile imekwisha kufa na ndiyo mwisho wake. Wacha misukule yake tu iliyokuwa inafaidi utawala wake ndiyo imkumbuke kama Bashiru, Polepole na Makonda
 
Wee huoni Watu wanakua Masikion Kwa Kasi ya ajabu ,na Tajiri anazidi kua Tajiri Kwa Kasi ya Ajabu???
 
Kwakweli kuna mambo ambayo daima nitamkumbuka nayo:-
1. Alikuwa mwamba akiongea wote kimya mnamsikiliza yaani alikuwa loud and clear.
2. Uthubutu na maamuzi ya papo kwa hapo.
3. Kusikiliza wananchi kwakweli hakujali hali alimsikiliza hadi mwananchi wa kawaida na viongozi walianza kuona thamani ya kila mwananchi.

Kwa haya JPM nitakukumbuka sana.

Alipoanguka kama mwanadamu ni kwenye promotion na salary increament (japo aliitoa increament ya kupunguza PAYE rates). Demokrasia na freedom of press

Anyways hatukutumwa tuzaliwe ni kiherehere chetu.

Pumzika kwa AMANI JPM.
 
Back
Top Bottom