RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Tarehe 21.10.2017 safari kuelekea chato mkoani geita kwenda kumuombea aliyekuwa rais wa tano dr john pombe magufuli kiongozi shupavu aliyeamua kuibadili nchi kwa miradi mikubwa ya kimkakati kwa ajiri ya taifa lake, mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina.
mwamba alikuwa hayumbishwi na mataifa ya nje alisimamia anachokiamini na maendeleo ya kaonekana leo hii chakula bei juu vifaa vysa ujenzi bei juu kila kitu kimepanda bei na uchumi umesinyaa watu wamebaki kupiga porojo kwakuaminisha wananchi mambo ambayo hayapo .
Siku yaja tutapata mzalendo wa taifa kama mwenye kaliba ya dr john pombe magufuli.
Nawatakia jumapili njema.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]