Tunamkumbuka kwa kutufilisi na kutufunga jela bila kosa lolote
 
Hayo hapo juu na mengine ya kishetani ndiyo yanatufanya tumkumbuka shwain yule
 
Kuanzisha tu thread hii ni kumbukumbu tosha
 
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeongea Kwa hasira sana
 
Alifanikiwa kuweka alama (nzuri/mbaya) mioyoni kwa kila mtanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....


πŸ‘£
 
Hayo yote uliyo andika hapo maanayake unamkumbuka, labda kama unajitoa akilitu
 
kuna kukumbukwa kwa mema na mabaya. yeye anakumbukwa kwa mabaya
wajinga ndiyo walidanganywa (walijingishwa)
Iwe kwa mabaya ama kwa mazuri utamkumbukatu.
Mabaya hata wewe unayo na mazuri unayopia Jembe hakuwa Mungu.

Kusema humkumbuki ni uninga tu.
 
nitahakikisha mnaishi kama mashetani, pesa hazitakuwepo. na kweli watu waliishi kama mashetani pesa zilikimbia hata hatukujua zilienda wapi. utakosaje kumkumbuka hata kwa hilo?
 
Wewe hapo umeshamkumbuka tayari.
 
Tatizo la wanaume mnao liwa tigo bila ganzi ndo huwa mnaandika ujinga kama huu wewe na familia Yako mnaliwa tena tigo
 
Jamaa alikuwa kiongozi wa hovyo asiyeweza ku handle pressure, inafikia hatua unamtukana waziri wako hadharani sasa wewe ni kiongozi wa namna gani? Wanaokupinga kisiasa unawaona ni wahaini? unawatesa, unawaua, unawafilisi aisee wacha nchi ipumue !! kwa sasa ingekuwa afadhali ya Somalia.
 
AKumbukwe kwani amekuwa MTOTO WA DANDU au SUPER DANGER? Atakumbukwa na Familia yake tu wengine ni UNAFIKI.
 
Kupitia mada hii ni tayari akili na mawazo yako vimekusanya mambo mengi ya huyo mzee tena mazuri ila umeamua kubeba mabaya ila, uzuri umemkumbuka kwa njia ya andiko hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…