Huyu jamaa sijui alipataje Urais ! Nimeamini Uchawi upo yaan.
 
Daaah, Laisi !
 
Tumpongeze Dr samia sasa gunia lina laki saba na ushee bila ya Dr samia wakulima tulikuwa tunakufa njaa
 
Kwani Kasema Uongo!?
Uongo Uongo Uongo Uongo mkubwa sana tena sana kuna vitu watanzania ni wavivu wa kutafuta habari za uhakika kazi yetu ni koma kujaza unafiki tu ki ukweli najichukia sana ninaposhindwa kutafuta ukweli Na kuishia kumaingizia mtu.
 
Viva Samia,Rais mpenda watafutaji,siyo kujaza watu ujinga,eti wanyonge,wananchi masikini..Wakulima sasahivi tunauza mazao yetu kwa raha tu,tunafanya biashara na wanyarwanda na warundi huku kanda ya ziwa,mazao yetu yananunuliwa kwa bei kubwa tu kiasi kwamba mkulima akiuza gunia 15 tu shida zake zote zinaisha kabisa,Gunia ambalo halijakobolewa sasahivi lina 150000,ukilikoboa hela utazikimbia,mwaka jana pamba tumeuzia 2000,raha sana
 
Wafanyabishara mkulima waTanzania ana uza mazao kabla ya kukomaa yakisha komaa kasha maliza pesa na anakuwa hana chake
 
Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere iliyopo eneo la Kwangwa pale Musoma!
 

unakatwa mwanangu.humjui magufuli.
wewe umekutana na machoko wenzako aliowanyandua kikatili.

kaulize watu wa karibu wa magufuli sio hao wacenge wenzako.
 
Wafanyabishara mkulima waTanzania ana uza mazao kabla ya kukomaa yakisha komaa kasha maliza pesa na anakuwa hana chake
Usikariri story za jiwe hizo,sisi wenyewe tunalima na tunaona,watu huku kanda ya ziwa wana mfumo wa kuhifadhi mazao yao kwenye maghala ili kusubiri bei zipande,siyo kwamba hawauzi mazao mapema,la hasha,wanauza kiasi kumaliza matatizo yaliyopo muda huo,ila mzigo mwingine wanasubiri miezi ya mwisho mwisho mwa mwaka ili wapate faida kubwa
 
Hakuna kitu kama mimi wanafanya kazi wenzangu wanatuma pesa vijijini kwao uko wanunuliwe mazao wanaweka ndani mpaka kipindi cha ukame, mkulima wa Tanzania hana ubavu wakutunza chakula ghalani, labda mkulima wa korosho, mkulima hawezi kukaa na mazao lazima atauza kabla ya mavuno ili kupata mahitaji yake ya kila siku na huduma za shule kwa watoto wake, anaye tunza mazao ni mfanyabiashara au mfanyakazi.
 
1. Ametuonesha kwa vitendo ubaya wa katiba tulionayo.
2. Kwa ukali wake watumishi wa umma waliepuka uzembe kazini na dharau kwa wananchi wanaowatumikia.

Mabaya ya Magufuli haya hapa;-
1. Aliibaka katiba.
2. Alidhibiti wizi ktk ngazi ya halmashauri na mashirika LAKINI wizi mkubwa ukawa unafanywa na yeye mwenyewe na maswahiba zake. Kwahiyo bomba la wizi lilizibwa upande wa "wadogo outlet" likawa wazi upande wa "wakubwa outlet".

3. Alipora uhuru wa watu na mali zao na alitaka aogopwe kama Mungu. Kule Karagwe kuna mkurugenzi alijitetea kuwa hakumbuki mgawanyo wa fedha za barabara kwa kuwa ana vifungu vingi vya fedha. Magufuli aling'aka na kumwambia huwezi kunijibu hivyo mm (mungu) wewe"".

4. Alifeli kwa 100% ktk masuala ya uchumi . Aliamini kuwaharibia wafanyabiashara wakubwa na kupora fedha zao ndiyo kuinua uchumi Very awkward approach). Nchi ikaharibiwa mifumo na misjipa ya uchumi ikasinyaa. Ndiyo maana mama anatupiga Tozo.

5. Kisiasa alikuwa mgauzi . Akihubiri ubaguzi wa kisiasa waziwazi kuwa mkichagua mpinzani sileti maji (hafai kabisa).

N.B. Naiomba serikali inipe ruhusa nikatembelee kaburi la Magufuli halafu muone nitakachofanya.
 
Umesahau na hili la Magufuli kutafuna M100 za Sabodo alizompa kujenga ofisi au makao makuu ya chama.

Mpaka leo Sabodo hajaona ofisi wala tawi lililojengwa kupitia mamilioni yake alizompa Magufuli na genge lake.

Kingine Magufuli alivunja katiba ya chama chake mwenyewe kwa kubandua kipande kinachompa ukomo wa vipindi viwili tu madarakani ili abaki katika uenyekiti kwa muda usiojulikana na kuendelea kutafuna hela za chama na genge lake.

Onya: usimwamini mwanasiasa yoyote awe wa chama tawala au cha upinzani. Wote wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao, ndo maana unasikia mamilioni ya Sabodo yalitumika kusafirishia watoto wao Marekani wakaombe uraia wa huko, huku wakiwahadaa watoto wa wenzao waingie barabarani kupigania masilahi yao.
 

Attachments

  • Screenshot_20220912-125326.jpg
    62.8 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…