ANCIENT FROM EGYPT
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 927
- 1,136
Kila Mtu Hapa Duniani Ana Roho mbaya inategemea tu Mmekutana Kwenye Shughuli gani Na Kwa Maslahi Gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli.Kila Mtu Hapa Duniani Ana Roho mbaya inategemea tu Mmekutana Kwenye Shughuli gani Na Kwa Maslahi Gani?
Habari!
Mwaka 2014 nikiwa mdanyakazi wa Mgodi wa Bulyanhulu chini ya Barrick na baadaye kuwa chini ya acacia niliwahi kutamka jambo mbele za watu kuwa nchi hii ya Tanzania ilipaswa iwe mikononi mwa Magufuli kama RAIS ndio ifike pazuri. Mmoja wapo akanupinga akasema Mimi natokea Chato tena nimesoma shule ya sekondari Tunduru inayomilikiwa na Magufuli. Huyo mtu namjua hafai kuwa Rais.
Mwaka 2015- 2022 nimekutana na ndugu wa damu wa Magufuli, watu aliofanya nao kazi akiwa Waziri wa wizara mbalimbali, watu aliosoma nao primary, sekondari na chuo.
Magufuli alikuwa na roho mbaya sana sana.
Nimeongea na madereva 2 waluomwendesha kabla hajawa Rais, nimekutana na kuongea naye msaidizi wake mmoja alipokuwa wizara ya Ujenzi . Nimeongea na mtu aliyelinda nyumba yake zaidi ya miaka 20.
Nimeongea na aliyekuwa mkuu wa idara fulani wizara ya Ujenzi.
Kwa ufupi yule mzee alikuwa katili na mwenye roho mbaya.
Unaweza kuniuliza hao watu nimewatoa wapi na kwanini niwahoji mambo ya Magufuli?
Ni kwamba tunakutana kwenye kazi na ndipo huanzisha stori za Magufuli hapo ndipo ninawachimba kwa viswali vidogovidogo.
UNAMFAHAMUJE?Tupe ushuhuda wa jambo alilowahi kukufanya wewe kama weweMagufuli alizidisha UBAYA.
POLE KWA KUCHELEWA KUYAJUA HAYA MKUU.
MZEE ALIKUWA.
MKALI KUPITILIZA.
MJUAJI KUPITILIZA.
VISASI KUPITILIZA.
UBAYA KUPITILIZA.
Mimi namfahamu kitambo jamaa Alikuwa mtu Mbaya KUPITILIZA.
Hivyo vyote vilitakiwa vikae makao ya mkoa, Geita mjini lkn yy akapeleka huko Chato.1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Kukamilika ni moja, kutoa huduma iliyokusudiwa ni jambo tofauti.Siku SGR na Stigers gorge vikikamilika ndio siku ambayo wananchi wa taifa hili wataomba kwa vinywa vyao itengwe siku maalumu kila mwaka ya kumkumbuka kama tunavyofanya kwa Mwalimu Nyerere
kutuvusha kwenye janga la Dunia covidView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Kiongozi bora kuwahi kutokea TZ tunakumbuka daimaKwa kweli sijafurahi kabisa kumpoteza kiongozi mahiri kama john pombe magufuli alikua hodari sana katika uongozi wake mianya ya rushwa alikomesha, uonevu, huduma katika taasisi za kiserikali zilikua zikitolewa kwa heshima na bila ubaguzi, kajenga miradi mingi sana nchini, elimu bure, miundombinu, hudumu hospitalini ziliboreshwa, huduma za maji mikoa mbalimbali alitoa fedha miradi ikamilishwe, uwanja wa ndege wa mwl Julius Nyerere aliukarabati kwa ufupi Rais wangu kifo chako John Pombe Magufuli umeniachia simanzi moyoni mwangu.