Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mapenzi ya kinafiki, mtu aondoke ndipo aanze kupendwa. Hakuna rais wa TZ kati ya wote sita anayeweza kupendwa kwa dhati akiwa ikulu, ni unafiki tu unatusumbua.Ni ukweli tulikuwa tunampenda sana ,na haya mambo yavyoendela humu nchini,ata wale waliokuw hawampendi zamani sasa wanazidi kuongezaka kumpenda.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Ulifungua hii account kwa ajili ya hii kazi? Wavaa kobazi huwa hamna akili kabisaWapo wanaomsema kwa mazuri yake magufuri na tupo sisi pia huwa hatutaki hata kulisikia jina lake likitamkwa popote pale, sisi waislamu....
Nitamkumbuka Kwa kuua wapinzanzani wake kisiasa kwakua hakua na uwezo wa kujenga hoja kisiasa Bali uongo na unafiki ulimjaaView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
kwakweli nitamkumbuka kwa kupiga marufuku kusema vyuma vimekaza.View attachment 1734652

Mkuu, umekosea Uzi! Unahusu tu, kama kichwani cha habari kisemavyo!Mnahangahika kumnadi marehemu ambaye alikataliwa na Muumba kwasababu ya uovu wake.
Lakini yule kafa kifo cha mpumbavu.Mkuu, umekosea Uzi! Unahusu tu, kama kichwani cha habari kisemavyo!
Kwani hujui kusoma na kuelewa!
Hata hivyo, Kwa Mungu hakuna mtenda mema wala mabaya, wote tutakufa ukiwapo na wewe
Jamaa aliijua jamii ya kitanzania vyema,alipowaambia watu wa Daresaalam kua 'atakayebaki mjini niwanaume',wapiga dili walijua anatania,acha awabane,walinywea kinoma.
Kwenye inshu ya vyeti feki,alibana kinoma,japo kuna tangazo nimeliona Jana kua wanalipwa na kurudishwa kazini,na huo ni mwanya kwa ma-HR kupiga pesa,na kuingiza watu wao,ila jamaa alibana kinoma.
sasa wewe popote unataka kunya tu!!!Mimi sitamsahau alivyonijibu kwamba kama siwezi kuingia vyoo vya kulipia basi nibaki na mavi yangu nyumbani!