vannistelrooy
JF-Expert Member
- Jan 31, 2017
- 317
- 652
Atubu kwanza Dhambi zakeAtakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Wewe umetubu dhambi zako?Atubu kwanza Dhambi zake
Nyerere ni Nyerere na JPM ni JPM.Hivi kwanini mnalazimisha sana huu utukufu wakuu?
Uliwahi kuona mahali watu wanashupaa kumpigia debe Nyerere?
Hizi makitu huwa zinakuja zenyewe tu, kama alikuwa supa nyie relax tu sifa yake itakuwa pale pale. Mnapotumia nyuzi nyingi na muda mwingi kuonesha utakatifu wake hadi kuwaza atakayemsifia basi atabarikiwa aisee mnatupa wasiwasi sana sisi ma nyutroo
Afufuke ili iweje? Sema mrija wa asali unaolamba ukikata utakonda tuuJohn Pombe kaniachia tatizo kubwa
SIKUJUA NI VIGUMU KIASI GANI KUPAMBANA NA UNENE....hata nisipokula nanenepa, juisi wiki nzima nanenepa kila nikukumbuka siko chini yake...mwili unaongezeka tu.
Dah: Sijui afufuke ili nikondeane kama mwanzo....unene unanipotezea shape yangu jaman
Wala sijakamatia mrija....Rais aliyeko madarakan anajitambua na kujua umuhimu wa yeye kuwa RAIS wa watu woteAfufuke ili iweje? Sema mrija wa asali unaolamba ukikata utakonda tuu
Narudia, hii takataka ya Chato wala haikustahili kututawala. Japo akina JK na CCM walimpa nafasi bila kujuwa unyama wake lakini Mungu wetu alitunusuru toka kwa shetani mnywa damu pale 17/ 03/ 21Ndicho ulichocopy kwenye hayo makamasi ya ubongo wako huna heshima!
Mkuu, nilishakushauri uachane na pombe za kienyeji, husikiiAtakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Atakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Uongo mtupu !Atakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
National Hero! Hata akitokea wa kukaribia kufanana nae hatuto mdhihaki tumesha jionea vya kutosha, tusamehe huko ulipo
[emoji120]