Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
National Hero! Hata akitokea wa kukaribia kufanana nae hatuto mdhihaki tumesha jionea vya kutosha, tusamehe huko ulipo
[emoji120]

-"No body new Magufuli was coming,and no body new Magufuli was going, Magufuli himself new he had little time,he did everything like he was in a rush to go somewhere,thank you President John Magufuli"[emoji848][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hivi kwanini mnalazimisha sana huu utukufu wakuu?

Uliwahi kuona mahali watu wanashupaa kumpigia debe Nyerere?

Hizi makitu huwa zinakuja zenyewe tu, kama alikuwa supa nyie relax tu sifa yake itakuwa pale pale. Mnapotumia nyuzi nyingi na muda mwingi kuonesha utakatifu wake hadi kuwaza atakayemsifia basi atabarikiwa aisee mnatupa wasiwasi sana sisi ma nyutroo
 
Nyerere ni Nyerere na JPM ni JPM.
 
John Pombe kaniachia tatizo kubwa

SIKUJUA NI VIGUMU KIASI GANI KUPAMBANA NA UNENE....hata nisipokula nanenepa, juisi wiki nzima nanenepa kila nikukumbuka siko chini yake...mwili unaongezeka tu.

Dah: Sijui afufuke ili nikondeane kama mwanzo....unene unanipotezea shape yangu jaman
Afufuke ili iweje? Sema mrija wa asali unaolamba ukikata utakonda tuu
 
Ndicho ulichocopy kwenye hayo makamasi ya ubongo wako huna heshima!
Narudia, hii takataka ya Chato wala haikustahili kututawala. Japo akina JK na CCM walimpa nafasi bila kujuwa unyama wake lakini Mungu wetu alitunusuru toka kwa shetani mnywa damu pale 17/ 03/ 21
 
Back
Top Bottom