Nyerere ni Nyerere na JPM ni JPM.
Hiyo TAKATAKA inakumbukwa na wajinga tu.Atakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Pumzika kwa amani Shujaa wa Watanzania na Afrika kwa ujumla.Atakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Shida yake ni moja tu alikuwa ansua kila anayempinga. Alikuwa anajiona yeye ndo anajua kumbe kilaza tu. Lini mwl akawa rais utegemee progres. Kwanza mwl mana yake failureAtakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Ila huyu kizibo ni nomaUkweli mchungu😁😁😁
View attachment 2482115
Nothing at all.Wala sijakamatia mrija....Rais aliyeko madarakan anajitambua na kujua umuhimu wa yeye kuwa RAIS wa watu wote
Pombe nakunywa mimi, wewe unawashwa na nini, Mkuu?Mkuu, nilishakushauri uachane na pombe za kienyeji, husikii
Pumzika kwa amani Shujaa wa Watanzania na Afrika kwa ujumla.
RIP Mzalendo wa kweli
Amina.Pumzika kwa amani Shujaa wa Watanzania na Afrika kwa ujumla.
RIP Mzalendo wa kweli
Ndugu wa Marehemu....Hivi kwanini mnalazimisha sana huu utukufu wakuu?
Uliwahi kuona mahali watu wanashupaa kumpigia debe Nyerere?
Hizi makitu huwa zinakuja zenyewe tu, kama alikuwa supa nyie relax tu sifa yake itakuwa pale pale. Mnapotumia nyuzi nyingi na muda mwingi kuonesha utakatifu wake hadi kuwaza atakayemsifia basi atabarikiwa aisee mnatupa wasiwasi sana sisi ma nyutroo
Nduguzo tunaona aibu haya mambo unayopost humu, tafadhali sanaPombe nakunywa mimi, wewe unawashwa na nini, Mkuu?
Nothing is the number when you dieAtakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Kitabu chake kimeshafungwa. Hakuna haja ya kuhofia. Ila kumbukumbu hazifutiki na huwezi kuwatisha watu kukumbuka. Hakuna cha lana wala baraka kwa atakaemzungumzia Magufuri, sababu kitabu chake kimefungwa.Atakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Mkuu, kitabu huwa hakifungwi, ndo maana huwa kuna tarehe kila mwaka kuwakumbuka Viongozi.Kitabu chake kimeshafungwa. Hakuna haja ya kuhofia. Ila kumbukumbu hazifutiki na huwezi kuwatisha watu kukumbuka. Hakuna cha lana wala baraka kwa atakaemzungumzia Magufuri, sababu kitabu chake kimefungwa.
Uki-relax wewe inatosha tusipangiane maishaHivi kwanini mnalazimisha sana huu utukufu wakuu?
Uliwahi kuona mahali watu wanashupaa kumpigia debe Nyerere?
Hizi makitu huwa zinakuja zenyewe tu, kama alikuwa supa nyie relax tu sifa yake itakuwa pale pale. Mnapotumia nyuzi nyingi na muda mwingi kuonesha utakatifu wake hadi kuwaza atakayemsifia basi atabarikiwa aisee mnatupa wasiwasi sana sisi ma nyutroo