Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Atakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Hiyo TAKATAKA inakumbukwa na wajinga tu.
Very unfortunate nation. Yaani ukitaka kujua kuwa Magufuli alikuwa mtu wa HOVYO angalia watu ambao aliwakumbatia kama wasaidizi wa karibu.

1. Daud Bashite aka Makonda
2. Lengai Ole Sabaya
3. Mrisho Gambo

Hiyo mijitu yote ni takataka, miuaji, mijitu ya unyang'anyi na iliyokosa maadili. Still wapumbavu bado wanamuita Magufuli shujaa wao
 
Vile tunalinda na kutetea legacy😁😁😁
cm4Tv.jpeg
 
Hivi kwanini mnalazimisha sana huu utukufu wakuu?

Uliwahi kuona mahali watu wanashupaa kumpigia debe Nyerere?

Hizi makitu huwa zinakuja zenyewe tu, kama alikuwa supa nyie relax tu sifa yake itakuwa pale pale. Mnapotumia nyuzi nyingi na muda mwingi kuonesha utakatifu wake hadi kuwaza atakayemsifia basi atabarikiwa aisee mnatupa wasiwasi sana sisi ma nyutroo
Ndugu wa Marehemu....
 
Atakayekulaani na kukudhihaki atalaaniwa kabisa na atakayekutetea wazi wazi atabarikiwa hakika.
Kitabu chake kimeshafungwa. Hakuna haja ya kuhofia. Ila kumbukumbu hazifutiki na huwezi kuwatisha watu kukumbuka. Hakuna cha lana wala baraka kwa atakaemzungumzia Magufuri, sababu kitabu chake kimefungwa.
 
Mkuu, kitabu huwa hakifungwi, ndo maana huwa kuna tarehe kila mwaka kuwakumbuka Viongozi.
Mfano, tarehe 14, October nk.
 
Hivi kwanini mnalazimisha sana huu utukufu wakuu?

Uliwahi kuona mahali watu wanashupaa kumpigia debe Nyerere?

Hizi makitu huwa zinakuja zenyewe tu, kama alikuwa supa nyie relax tu sifa yake itakuwa pale pale. Mnapotumia nyuzi nyingi na muda mwingi kuonesha utakatifu wake hadi kuwaza atakayemsifia basi atabarikiwa aisee mnatupa wasiwasi sana sisi ma nyutroo
Uki-relax wewe inatosha tusipangiane maisha
 
Wale waliolishwa “matango pori kwa habari za kuzusha na kupindisha ukweli, wameshuhudia watanzania wakiandamana kwa boti, mitumbwi, na mashua ili kumsindikiza “Chuma” akienda nyumbani kwake Chato kwa maziko, Ijumaa tarehe 26 Machi 2021.
Watanzania wameomboleza, wakatandaza nguo zao njiani, ili mtu wa haki, aweze kupita katika ukimya, ushuhuda kwamba, kwa hakika, watanzania walimpenda Hayati Dkt. Magufuli kwa upendo wa dhati na moyo mweupe pe, wakamthamini sana. Kwa hakika amejiwekea amana na hazina ya upendo katika nyoyo za watanzania wenzake Dr. John Pombe Magufuli amekuwa ni kiongozi aliyebeba dhamana na wajibu wake wa kuwaongoza watanzania kwa ari, moyo mkuu na utulivu! Akawaonesha watanzania furaha pale walipogusa undani wa maisha yake! Alionesha maisha ya hofu na uchaji wa Mungu na kuwataka watanzania kumpatia Mwenyezi Mungu kipaumbele cha kwanza katika maisha yao. Si rahisi sana kuweza kuorodhesha mafanikio makubwa yaliyopatikana nchini Tanzania katika kipindi cha uongozi wake katika sekta ya ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi
 
Back
Top Bottom