Inuka uende zako!Imani yako imekuponya🙏
Bwana akutangulie.Inuka uende zako!
Hakuna cha adhabu hapo, isipokuwa raha ya milele.Kwa Imani ya Kikatoliki
Jiwe Kwa Sasa yuko Kuzimu Motoni anatumikia adhabu yake
Sio Kwa Mwendakuzimu JiweHakuna cha adhabu hapo, isipokuwa raha ya milele.
John The Pabtist naona unawapa ubatizo vojana,Inuka uende zako!
Si leo wala kesho. Tutamkumbuka JPM daima.[emoji1][emoji1][emoji38] enyi wafuasi wa malaika wa chato mtaacha lini uzwazwa na ubwegede
Kanyigo,hili jina limenikumbusha mbali sana [emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji38] enyi wafuasi wa malaika wa chato mtaacha lini uzwazwa na ubwegede
Hapana ndugu, JPM huwa anakumbukwa automatically.Mmmh mnapitiliza sasa!![emoji706]
Hilo jina la katikati la ALCOHOL ndo limemzuia kwenda mbinguni,..yuko anahang kwa ozone layer 😋😋Kwa imani yangu, bila shaka JPM ni mmoja wa Watakatifu waliopo huko Mbinguni. Hii ni kutokana na uongozi wake wa kuguswa sana na shida za Watanzania.
Labda MBINGU yako, sio ile ya Mungu wetu!!Kwa imani yangu, bila shaka JPM ni mmoja wa Watakatifu waliopo huko Mbinguni. Hii ni kutokana na uongozi wake wa kuguswa sana na shida za Watanzania.