Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kwa imani yangu, bila shaka JPM ni mmoja wa Watakatifu waliopo huko Mbinguni. Hii ni kutokana na uongozi wake wa kuguswa sana na shida za Watanzania.
Hilo jina la katikati la ALCOHOL ndo limemzuia kwenda mbinguni,..yuko anahang kwa ozone layer 😋😋
 
Bila shaka utakuwa ni mmoja kati ya hawa🐒

images (59).jpeg
 
Mwacheni JPM apumzishwe mahali panapo mfaa. Najua kwamba kuna watu mnajipanga kutumia jina la JPM kwa tamaa zenu, baada ya kunyang'anywa asali. Pambaneni kivyenu na siyo kutumia jina la marehemu.
 
Back
Top Bottom