Pole sana. Kama hujaona mchango wake leo, basi yawezekana kesho ukauona.Shida gani aliyokutatulia,tuanzie hapo
Nani alikudanganya kwamba matumizi ya alcohol ni dhambi?Hilo jina la katikati la ALCOHOL ndo limemzuia kwenda mbinguni,..yuko anahang kwa ozone layer [emoji39][emoji39]
Wakristo,..Nani alikudanganya kwamba matumizi ya alcohol ni dhambi?
Hiyo 'Laisi' inaakisi upeo wa akili yake.Daaah, Laisi !
Hawa wana akili kweli???Bila shaka utakuwa ni mmoja kati ya hawa🐒View attachment 2494528
Sio lazima tule wote, hivyo ulivyokula wewe imetosha mkuu......tuendelee na madaUmekula mkuu?
Misinterpretation kubwa imekutokea hapa, lengo si kumuandama marehemu bali kuonyesha tu nguvu ya mamlaka........mazungumzo hayo ndo nimeona kama mfano wa wazi wa mada yangu. Pole sana!Ss ulitegemea profesa angejibu nn wkt kashika makalii mpinii kashikiliaa mwinginee...
Mwache mzee maguu angalau apumzikee uko alipo ...maaana mmemwandama kwel kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Assad mwenyewe aliulizwa kuhusu wizi wa zile 1.5trilion akabaki kutetema kile cheo Lissu anadai ni hatari Kwa mujibu wa Katiba iliyopoSs ulitegemea profesa angejibu nn wkt kashika makalii mpinii kashikiliaa mwinginee...
Mwache mzee maguu angalau apumzikee uko alipo ...maaana mmemwandama kwel kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau utekaji wakeRais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amefichua kuwa siri ya kumteua Hayati Dk. John Magufuli alikuwa jembe lake na alimuamini ndio sababu akamteua katika wizara tatu tofauti.
Kikwete ameyasema hayo Ijumaa Machi 26, 2021 Wakati wa Ibada Maalum ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli iliyofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato mkoani Geita, amesema alikiwa ni mmoja wa mawaziri ambao alimuamini na kumtumaini.
Magufuli Umejitoa na kufanya mengi makubwa kwa taifa letu, kila mmoja wetu ni shahidi. Vita umevipiga na mwendo umeumaliza baba, pumzika jemedari, pumzika kiongozi wetu, pumzika mzee wetu. Watanzania tutakukumbuka daima.”
Mr yamoto.
Apumzike kwa amani Mr presidentRais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amefichua kuwa siri ya kumteua Hayati Dk. John Magufuli alikuwa jembe lake na alimuamini ndio sababu akamteua katika wizara tatu tofauti.