Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Naandika kutoka moyoni mwangu kuwa ubora Wa utawala Wa hayati Rais Magufuli hautaisha. Uzalendo wake uchapakazi wake siasa Safi na Hofu yake kwa Mungu na jinsi alivyoitetea nchi na wananchi wanyonge fikra zake sahihi juu ya ulithi wetu Vitadumu milele. Nikweli Baba umelala lakini uliyoyafanya yataishi miaka Mingi. Itaichukua Dunia miaka maelfu bila kumpata mzalendo kama Hayati Rais magufuli
 
Ss ulitegemea profesa angejibu nn wkt kashika makalii mpinii kashikiliaa mwinginee...

Mwache mzee maguu angalau apumzikee uko alipo ...maaana mmemwandama kwel kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misinterpretation kubwa imekutokea hapa, lengo si kumuandama marehemu bali kuonyesha tu nguvu ya mamlaka........mazungumzo hayo ndo nimeona kama mfano wa wazi wa mada yangu. Pole sana!
 
Ss ulitegemea profesa angejibu nn wkt kashika makalii mpinii kashikiliaa mwinginee...

Mwache mzee maguu angalau apumzikee uko alipo ...maaana mmemwandama kwel kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Assad mwenyewe aliulizwa kuhusu wizi wa zile 1.5trilion akabaki kutetema kile cheo Lissu anadai ni hatari Kwa mujibu wa Katiba iliyopo
 
Tuache Magufuli apumzike kwa amani na kila mwenye macho aliona kilichofanyika na kinachofanyika atafsiri kwa akili yake
 
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amefichua kuwa siri ya kumteua Hayati Dk. John Magufuli alikuwa jembe lake na alimuamini ndio sababu akamteua katika wizara tatu tofauti.

Kikwete ameyasema hayo Ijumaa Machi 26, 2021 Wakati wa Ibada Maalum ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli iliyofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato mkoani Geita, amesema alikiwa ni mmoja wa mawaziri ambao alimuamini na kumtumaini.

Magufuli Umejitoa na kufanya mengi makubwa kwa taifa letu, kila mmoja wetu ni shahidi. Vita umevipiga na mwendo umeumaliza baba, pumzika jemedari, pumzika kiongozi wetu, pumzika mzee wetu. Watanzania tutakukumbuka daima.”

Mr yamoto.
Umesahau utekaji wake
 
Apumzike kwa amani Mr president
 
Back
Top Bottom