Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sakata la Covid tu
Leo huku [emoji636] jamaa kaja kazini anasema ana Corona anaambiwa endelea tu na kazi maana imekuwa kama kikohoo tu
Ila ilipoanza hali ilikuwa tofauti na ilipita na wengi
Jamaa akawapitisha bila woga
Mengine asamehewe tu
Mmhh"Tulikuwa tumezoea kuwa tajiri anaweza kufanya kitu chochote na asifanywe chochote,mimi kwenye utawala wangu tajiri anaweza fanywa chochote(ikiwamo kitatuliwa malinda)na asifanye chochote
Mimi kila nikipitia changamoto nzito ya maisha huwa naishia kumlaani magufuri ....jesca john pombe nisamehe kwa kumlaani baba yako..
Mkuu hilo la kutatuliwa malinda umeongeza salt"Tulikuwa tumezoea kuwa tajiri anaweza kufanya kitu chochote na asifanywe chochote,mimi kwenye utawala wangu tajiri anaweza fanywa chochote(ikiwamo kitatuliwa malinda)na asifanye chochote
Kwani hakuna matajiri waliotekwa na kuvuliwa nguo zote kisha kupatiwa khanga mokoMkuu hilo la kutatuliwa malinda umeongeza salt