kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Labda kama wewe ndiye uliyewatatua hayo malinda mzeeKwani hakuna matajiri waliotekwa na kuvuliwa nguo zote kisha kupatiwa khanga moko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama wewe ndiye uliyewatatua hayo malinda mzeeKwani hakuna matajiri waliotekwa na kuvuliwa nguo zote kisha kupatiwa khanga moko
Ina mapori tu..."Serikali haina shamba"
Yaani changamoto ulizozaliwa nazo na umasikiini wa kwenu uje umlaani magufuli?Mimi kila nikipitia changamoto nzito ya maisha huwa naishia kumlaani magufuri ....jesca john pombe nisamehe kwa kumlaani baba yako..
changamoto alizonisababishia magufuriYaani changamoto ulizozaliwa nazo na umasikiini wa kwenu uje umlaani magufuli?
Ccm ni ile ile oooh ni ile ileBaba magu acha wakutukane,acha wakubaghaze,Acha wakupe kila jina baya, Huwezi kujitetea,na hiki ndio walikuwa wanakitaka, hata watu uliowaamini leo wanaogopa kutaja jina lako,kwa sababu tu watakuongezea sifa,
Leo wanaishusha ile meri ya MV HAPA KAZI TU, NI KAZI YAKO BABA KWA WANAMWANZA,DARAJA LA KIGONGO FERRY, WANAJIVUNIA KULITAJA, STANDI MBILI ZA KISASA NYAMHONHORO NA NYEGEZI ,NI KAZI YAKO BABA,LKN WAMEAMBIWA NI MARUFUKU KUTAJA JINA LA JPM, AIBU AIBU AIBU,
WAMACHINGA ULIWAACHA WAKIFURAHIA MATUNDA YA UHURU WA NCHI YAO,LEO WANAWINDWA KAMA DIGIDGI,WAKINA MAMA WANANYANG'ANYWA SAMAKI ZAO NA KIPIGWA, CHAMA CHAKO MAPINDUNDUZI KIMEKAA KIMYA,CHADEMA KILICHOKUWA KINAJIITA WATETEZI WA WANYONGE,KIPO KIMYA,UONGOZI WA JUU WA CCM,UKO MBIONI KUKUITA WEWE FISADI,CHADEMA WAMEACHA KAZI YA KUWATETEA WANANCHI,WAO WAKO BIZE KUPAMBANA NA WEWE,NA WAMEJIUNGA NA KUWA TAWI DOGO LA CCM,
BABA LALA,LALA UPUMZIKE,MAPENZI YAKO KWA WATANZANIA YAPO WAZI,ACHA KUNDI DOGO WAKUTUKANE,ACHA WAKIITE KILA JINA BAYA,
TUTAKUKIMBUKA BABA,