Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
"Mimi mtu hata kama hajasoma hata darasa moja ila akakamata muuza dawa za kulevya hata mmoja namuona kama ana Phd kama hii yangu ya maganda ya koroshow()"
 
"Hakuna wakati mzuri kwa watumishi wa serikali kuchapa kazi kama sasa"
 
"Kagera mna shida gani,ukimwi ulianzia kwenu,mna mto unaitwa ngono,mna kijiji kinaitwa katerero"
 
"DED nimekuteua,nimupa v8 na kukuwekea mafuta halafu eti unamtangaza mpinzani kuwa mshindi"
 
hahaha hakuna aliesalama hapa duniani aisee yani baba jesca akaondolewa na wahuni kimyakimya na ikapita hivyo pumbv uu
 
Baba magu acha wakutukane,acha wakubaghaze,Acha wakupe kila jina baya, Huwezi kujitetea,na hiki ndio walikuwa wanakitaka, hata watu uliowaamini leo wanaogopa kutaja jina lako,kwa sababu tu watakuongezea sifa,

Leo wanaishusha ile meri ya MV HAPA KAZI TU, NI KAZI YAKO BABA KWA WANAMWANZA,DARAJA LA KIGONGO FERRY, WANAJIVUNIA KULITAJA, STANDI MBILI ZA KISASA NYAMHONHORO NA NYEGEZI ,NI KAZI YAKO BABA,LKN WAMEAMBIWA NI MARUFUKU KUTAJA JINA LA JPM, AIBU AIBU AIBU,

WAMACHINGA ULIWAACHA WAKIFURAHIA MATUNDA YA UHURU WA NCHI YAO,LEO WANAWINDWA KAMA DIGIDGI,WAKINA MAMA WANANYANG'ANYWA SAMAKI ZAO NA KIPIGWA, CHAMA CHAKO MAPINDUNDUZI KIMEKAA KIMYA,CHADEMA KILICHOKUWA KINAJIITA WATETEZI WA WANYONGE,KIPO KIMYA,UONGOZI WA JUU WA CCM,UKO MBIONI KUKUITA WEWE FISADI,CHADEMA WAMEACHA KAZI YA KUWATETEA WANANCHI,WAO WAKO BIZE KUPAMBANA NA WEWE,NA WAMEJIUNGA NA KUWA TAWI DOGO LA CCM,

BABA LALA,LALA UPUMZIKE,MAPENZI YAKO KWA WATANZANIA YAPO WAZI,ACHA KUNDI DOGO WAKUTUKANE,ACHA WAKIITE KILA JINA BAYA,
TUTAKUKIMBUKA BABA,
 
Ccm ni ile ile oooh ni ile ile
 
Back
Top Bottom