Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Atatajwa jina lake huko alikosema ataenda kua kiongozi wa malaika. Watesi, watu wenye chuki na visasi hawafai kumbukwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamkumbuka kwa kuua,kupotèza watu na kuiba pesa za serekali ukabilka ubabe na uonevuSiku mpigia kura 2015 na NDIO ilikua mara yangu ya mwisho kujihusisha na chaguzi....
Siku kubaliana nae kwenye baadhi ya mambo for sure...
Itoshe kusema alikua mtu na nusu....kiboko ya janja janja....alitikisa mibuyu yoteeTunamkumbuka kwa kuua,kupotèza watu na kuiba pesa za serekali ukabilka ubabe na uonevu
Kila nikionaView attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi...
Tanzania ni Moja,Kuna watu wanateseka sana wakiwa wanapanda Meli ya Hapa kazi tu watu kama akina Litunduja watakuwa wana makasriko tu ya kila aina watakumbwa...
Wazuri hawafi waliona wivu sana, angekuwa katili kama anavyosemwa asingeweza kuzunguka hivyoYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Mara juu ya mawe mara anakunywa kahawa ferry mara anakunywa dafuYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
LegasiYaani Shujaa Magufuli alikuwa Mtu wa kujichanganya sana na raia wa kawaida ndio sababu atapendwa hadi mtondogoo
Kila nikikumbuka Swaga zake za kula samaki wa kukaanga ferry na kunywa kahawa vijiweni nasema hakika Mwamba alikuwa Mtu wa Watu
Naona Tundu Lisu naye anaigaiga pale Nkasi na yeye alikabidhiwa jogoo na Aida
RIP Shujaa Magufuli
Haahahhahaa.....dah....anywysMara juu ya mawe mara anakunywa kahawa ferry mara anakunywa dafu
USSR
🤣🤣🤣Another widow in pain..
Magu alikuwa mshamba aliyebahatika.Alikua kijiweni anagonga gahawa, akatokea nduguye (kwenye ukoo) akamuomba pesa. Magu akamkokota jamaa hadi hardware akamnunulia majembe akamwambia lile shamba la kule chini hua analima nani? Jamaa akamjibu hakuna mtu analima, Magu akamwambia "haya kamata haya majembe ukalime utapata hela" (imagine na lile li sauti lake).
#StoriZaVijiweni